Kwa wote mliopo Dar, mnakaribishwa kwenye wiki ya Uzima

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
Bwana Yesu Asifiwe!!

Napenda Kuwakaribisha Wakazi Na Wana Jf Wote Wa Dar Kwny Wiki Ya Ukombozi Na Uzima. Ni Mkutano Mkubwa Wa Injili Utakaofanyika Pale TEGETA Shuka Kituo KIBO AU Njia Panda Ya Chanika Kuanzia Kesho J.Pili Tarehe 6-12 Mpk Tar.13-12-2015, Muda Ni Kuanzia Saa8 Mchana.

Kutana Na Mtumishi Wa Mungu SAMWEL PHILIPO Wa Huduma Ya *MLIMA WA NEEMA* Iliyopo Ruaha Kilombero,ambaye Mungu Amempa Neema Ya Kukomboa, Kuponya, Kufungua, Na Kubadilisha Maisha Ya Watu.

Wenye Shida, Magonjwa Na Mahtj Yote Yaliyoshindikana Mnakaribishwa Sasa.Na Mungu Atakomesha Mateso Yako Yote Wala Hayatainuka Tena Mara Ya Pili (NAHUMU 1:9-10).

Njooni Hapo Ndipo Mtakutana Na Mimi *Illovo* Live.

Ukiona Tangazo Hili Tafadhali Mjulishe Na Ndg,rafiki, Jirani Yako.

Kwa Mawasiliano Zaidi Piga Simu 0784142244, 0713142244, 0756400749.

MUNGU AWABARIKI
 
Tegeta alafu tena chanika mkuu? Maana Tegeta ipo njia ya Bagamoyo, na chanika ipo njia ya mvuti. Anyway ebu ongezea na nyama kidogo kwenye taarifa yako maana nina nia ya kuja kumuombea mema rais wetu Magufuli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu
Tegeta na Chanika wapi na wapi
Leta taarifa kisawia mkuu tuwe pamoja kumuombea Magufuri Rais wetu mpendwa
 
Tegeta alafu tena chanika mkuu? Maana Tegeta ipo njia ya Bagamoyo, na chanika ipo njia ya mvuti. Anyway ebu ongezea na nyama kidogo kwenye taarifa yako maana nina nia ya kuja kumuombea mema rais wetu Magufuli

Mkuu Utashuka Tegeta Kituo Cha KIBO,AU Uombe Ushuke Njia Panda Ya Chanika
 
Last edited by a moderator:
Jamani Karibuni Sana, Unaweza Kutumia Namba Izo Za Cm Kuwasiliana. Hapo Mtamwona Mch.Illovo Live.

Kumbuka Ni Neno La Mungu, Hivyo Ni Bure Kabsa Ni Wewe Tu Kuweza Kufika.
 
Jamani Karibuni Sana, Unaweza Kutumia Namba Izo Za Cm Kuwasiliana. Hapo Mtamwona Mch.Illovo Live.

Kumbuka Ni Neno La Mungu, Hivyo Ni Bure Kabsa Ni Wewe Tu Kuweza Kufika.

if u make a strong desire to come, God shall send u a transport in Jesus Name

Ikitokea nitashindwa kufika mimi ningependa nipate hata summary ya hilo somo, na picha uweke hapa.
Nitabarikiwa saaana,
 
Back
Top Bottom