Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,773
- 3,160
Naomba mniambie ni sehemu gani nzuri ya kufikia na lodge nzuri na maeneo ya kujidai pia...kipi nita enjoy nikiwa apo ma kipi kitaniboa pia asante
Mjini na wilaya zakeKazi tunayo. Tabora ni kubwa sana wewe unafikia Tabora ipi?
Leo umeiamulia jf Kila nyuzi na sehemu upo.Kazi tunayo. Tabora ni kubwa sana wewe unafikia Tabora ipi?
UmejuajeLeo umeiamulia jf Kila nyuzi na sehemu upo.
UramboSikonge, Urambo, Nzega, Uyui na Kaliua wewe utafikia wapi kwanza kabla ya kukwambia wapi ulale.
Urambo
Nenda orion hotel
Huyu haibiwi orion labda mitaa ya ng'amboTulia wewe usije ukamwibia.
Hahahah nimekumiss sana.Huyu haibiwi orion labda mitaa ya ng'ambo
Nenda orion hotel
Sikonge, Urambo, Nzega, Uyui na Kaliua wewe utafikia wapi kwanza kabla ya kukwambia wapi ulale.
Oooh hata Manyoni pia tuweke kama extra.Umeisahau Igunga mkuu
Isevya je?Hahahah nimekumiss sana.
Nafikia au ndo njia yangu ya kupita kila sikuKumbe huwa unafikia pale Orion hahhaha nitaanza kuweka Cctv kama zile za Collesium.
Nafikia au ndo njia yangu ya kupita kila siku
Umalize uni PM nikuulize kitu ila iwe siri.Nafikia au ndo njia yangu ya kupita kila siku