Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,758
Nakumiss manhita zana ge.Isevya je?
Nakumiss manhita zana ge.Isevya je?
Nyumba za wageni za Ng'ambo simshauri kbisa afikie hukoHuyu haibiwi orion labda mitaa ya ng'ambo
Are you serious?Isevya je?
Are you serious?
Humtakii mema mgeni weweNenda Ng'ambo nyuma ya Kitete Hospital pale.
Mboka ManyemaaHumtakii mema mgeni wewe
UnyamweziniMboka Manyemaa
Nimekumbuka mbaaali sanaUnyamwezini
Isevya je?
Akienda mwinyi,pale frankman patamfaaMpe ipuli,chemche,mwinyi na Mwanza road
Mumpe tahadhari ya vibaka lakini maana sometimes wanakufata hadi hapo hoteliniAkienda mwinyi,pale frankman patamfaa
Frankman ndo mwake Maana Karibu na Whatsapp Loliondo Shimoni Uhazili akishindwa sana Aje African House(The House of Bedbug)Akienda mwinyi,pale frankman patamfaa
Akienda shimoni ataibiwa.Ni mgeniFrankman ndo mwake Maana Karibu na Whatsapp Loliondo Shimoni Uhazili akishindwa sana Aje African House(The House of Bedbug)
Mumpe tahadhari ya vibaka lakini maana sometimes wanakufata hadi hapo hotelini
Nilipita apo oxgen mkuu kuchangia uchumi wa nchi kdg nilifikia coconutNenda lodge moja inaitwa Grand Mark/Tip Top Hotel kwa bei za walalahoi 20,25,30 elfu.Kuna moja ipo Center karibu na O2_Oxgen Lounge yenyewe mpyampya room zote ni 50k.