Kwa wenyeji wa mwanza malimbe kuna chuo cha veta kizuri?

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
440
516
Husika na kichwa hapo juu , nauliza wenyeji wa mwanza kama MALIMBE kuna chuo kizurii nataman kwenda kusoma umeme wa magarii

Masaada kwa wenyejii wa maeneo hayoo

Nawasilishaa
 
Husika na kichwa hapo juu , nauliza wenyeji wa mwanza kama MALIMBE kuna chuo kizurii nataman kwenda kusoma umeme wa magarii

Masaada kwa wenyejii wa maeneo hayoo

Nawasilishaa
Hapana hakuna chuo cha VETA malimbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…