Kwa wenyeji wa Dodoma msaada kuhusu shule ya msalato

Ocenicbay

Senior Member
Apr 9, 2017
103
121
Habari wadau:Mdogo wangu amepata post ya ualimu,Shule inaitwa Msalato Dodoma,Maelekezo tafadhali Geographia ya shule.Asante
 
Hongera zake sana shule ni nzuri iko nje kidogo tu ya mji. Nauli ni chini ya 1000 kutokea kituo cha dalada Jamatini au stand ya mkoa.
 
Poa mkuu,kwa iyo hapo anaweza kukaa city centre,
Anakaa vizuri tu na akawahi shule hata akiwa anaamka saa moja na kufanya maandalizi kabla ya kwenda. Akiwa na gari au boxer binafsi hapo hata asubirie dakika 5 kabla ya kipindi kuanza atawahi
 
Poa kama ndivyo,kwa yeye boxer hapana..labda ajichange avute hata ist au swift,kwa hali inaniaminisha hata barabara nayo itakuwa sio rafu road
 
Mpe hongera amepangiwa mjini
Anaweza kukaa maeneo ya Miyuji,mnadani na veyula

Jumamosi anakaribishwa mnadani tule nyama na waheshimiwa hapa
Ok mkuu,kumbe ndo mitaa iyo huwa panaposifiwa kwa nyama choma
 
Poa kama ndivyo,kwa yeye boxer hapana..labda ajichange avute hata ist au swift,kwa hali inaniaminisha hata barabara nayo itakuwa sio rafu road
Kumbe wa kike boxer hawezi kuendeshaa ,mpe hongera kupata mjin mwambie anitafute akija dom nimpokee mdogo wetu dinael sabaya,,
 
Ok mkuu,kumbe ndo mitaa iyo huwa panaposifiwa kwa nyama choma
Ndo hapo mkuu. Mimi nimesoma Mazengo na Msalato ni mke mmoja wapo wa mtemi Mazengo. Kwahio walikua patna zetu katika disco miaka hio(MSAZENGO). Wakati ule ilikua porini ila miaka ya hivi karibuni nikija kikazi hapa msalato ni karibu mno na mjini.

Niko hapa nachoma nyama mkuu.
Daladala ni kama nusu saa tu mpaka mjini
Watu wengi wa mjini ndo wanajenga huku sasa hivi

Ndo maana nikasema hongera yake kapata kismati
 
Poa mkuu,itabidi nitembelee uko kusafisha macho.Hope ni kama mnada flani siku za mwisho wa wiki.Umenikumbusha iyo ya disco yaani mnachanga mchango wa disco na kuwalipia nauli wasichana.Wao ni kuja kuwapa kampani tu
 
honger zake msalato na mjini nikaribu sana na maisha ya hapa sio tait nipo mwaka wa 3 sasa Dom ni mji wenye watu wakarim sana na wapenda kila mtu akaribie sana
 
Poa mkuu,itabidi nitembelee uko kusafisha macho.Hope ni kama mnada flani siku za mwisho wa wiki.Umenikumbusha iyo ya disco yaani mnachanga mchango wa disco na kuwalipia nauli wasichana.Wao ni kuja kuwapa kampani tu

Ilikua hivo hivo wao na uniform zao wanaletwa wamelipiwa kila kitu.

Mnada ndo unafungwa fungwa sa hizi. Tunaenda mjini
 
Hapo fresh kabisa.Jipe raha mkuu life is too short,penye majaliwa nikija lazma nije nile mbuzi
 
Back
Top Bottom