She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,163
Kama vipi nikupeleke usijaliWasalaam,
Kuna maeneo nataka kujua kwa wenyeji wa dar
1.Shoppers plaza iko wapi na napanda gari za wapi nikiwa natokea Kimara
2.Sinza Mugabe pia napanda za wapi na nashukia kituo kipi?
Kwani hakuna gari za Kawe zinazotoka Kimara?Shoppers plaza!
Kama unatoka kimara panda Mwendokasi hadi Morocco terminal,
Ukifika hapo chukua daladala za kwenda KAWE,
Mwambie kondakta akushushe shoppers/kisiwa
From kimara panda mwendo kasi ya Kimara-Morocco. Shukia Morroco panda gari yoyote inayoelekea Kawe, utashushwa kisiwani au ukipanda gari linalotoka Ubungo kwenda Msasani utashuka ubalozi wa Marekani kisha utatembea kidogo.Wasalaam,
Kuna maeneo nataka kujua kwa wenyeji wa dar
1.Shoppers plaza iko wapi na napanda gari za wapi nikiwa natokea Kimara
2.Sinza Mugabe pia napanda za wapi na nashukia kituo kipi?
Akitokea Kimara, K/koo anaenda kufanya nini. Anachotakiwa ni kupanda gari, itayomshusha Shekilango, halafu pale kushoto, kuna gari za kwenda makumbusho, ambazo zitamshusha hapo Sinza.Sinza Mugabe panda gari za inazopita sinza shuka Mugabe
Gari zinazopita sinza zinapatikana kkoo , makumbusho mwenge
Itisha uber watakupeleka kokote unapotaka.Wasalaam,
Kuna maeneo nataka kujua kwa wenyeji wa Dar
1.Shoppers plaza iko wapi na napanda gari za wapi nikiwa natokea Kimara
2.Sinza Mugabe pia napanda za wapi na nashukia kituo kipi?
Nipe namba yako, nikupe lift hadi hayo maeneoWasalaam,
Kuna maeneo nataka kujua kwa wenyeji wa Dar
1.Shoppers plaza iko wapi na napanda gari za wapi nikiwa natokea Kimara
2.Sinza Mugabe pia napanda za wapi na nashukia kituo kipi?
Kwani hakuna gari za Kawe zinazotoka Kimara?
Umeingia lini Dar mpwa?Wasalaam,
Kuna maeneo nataka kujua kwa wenyeji wa Dar
1.Shoppers plaza iko wapi na napanda gari za wapi nikiwa natokea Kimara
2.Sinza Mugabe pia napanda za wapi na nashukia kituo kipi?
ID yako mkuu imeniacha hoi kabisa😀😀😀Kwani hakuna gari za Kawe zinazotoka Kimara?
Sijawahi kuskia mzeeKwani hakuna gari za Kawe zinazotoka Kimara?