Kwa wenyeji wa Dar: Naomba kujua maeneo haya

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
2,140
2,000
Wasalaam,
Kuna maeneo nataka kujua kwa wenyeji wa dar
1.Shoppers plaza iko wapi na napanda gari za wapi nikiwa natokea Kimara
2.Sinza Mugabe pia napanda za wapi na nashukia kituo kipi?
From kimara panda mwendo kasi ya Kimara-Morocco. Shukia Morroco panda gari yoyote inayoelekea Kawe, utashushwa kisiwani au ukipanda gari linalotoka Ubungo kwenda Msasani utashuka ubalozi wa Marekani kisha utatembea kidogo.
 

Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,865
2,000
Sinza Mugabe panda gari za inazopita sinza shuka Mugabe
Gari zinazopita sinza zinapatikana kkoo , makumbusho mwenge
Akitokea Kimara, K/koo anaenda kufanya nini. Anachotakiwa ni kupanda gari, itayomshusha Shekilango, halafu pale kushoto, kuna gari za kwenda makumbusho, ambazo zitamshusha hapo Sinza.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom