Kwa wenye mahusiano tu Woman Civilazation

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Wanajf ningeomba tujadili hii picha wake kwa waume especial wenye mahusiano kwa maana watakuwa wame experience vya kutosha wanapokuwa na wapenzi kama wameona za miaka gani kati ya hizi.

Asanti....
 

Attachments

  • civilazation.jpeg
    civilazation.jpeg
    14.9 KB · Views: 737


Shossi miaka inavyokwenda hili vazi linazidi kuwa dogo, mwisho watu watavaa uzi!
 
teh teh teh we kijana unaidhamini sana sekta hiyo duh lakini umekuwa bayast upande wapili mbona hauzungumzii manake kuna bosi wangu aliwahi nihadidhia kuna wakati mlikabiliwa na uhapa wa vyupi mkawa mnavaa zinaitwa VIP anasema zilikuwa ni noma kwani zilikuwa zinakatika kwa chini hivyo mtu huistukia imejikusanyia kiunoni ndiyo unakuwa hauna tofauti na huyo ambaye hajavaa khe teh:roll::roll:
 
wanaume hawana?
mbona mnanyaaa sana nyiny...?
ahhh:twitch::twitch:

dada Tom habari ya Tom??
hawajambo wazeee....lol
Bora umesema,wao wanaona transition ya nguo za kike zile za kwao hawatoi,ngoja nizitafute.....lol
Will be back!
 
zamani ilikuwa ukitaka kuona ****** ya kina dada unafunua chupi lakini siku hizi ukitaka kuona chupi unafunua ******!
 
2020 watarudia ya 1920. hakuna kipya hata hizo nyuzi zilisha valiwa sema tuu sisi kizazi kipya.
 
Nadhani wanakwenda spidi zaidi ya hiyo hapo, now they are wearing nothing
 
Za kwene je? AU ninyi hamdevelope kwenye mambo hayo.
 
Ni mabadiliko ya tabia nchi na akina dada wako sharp kwenda na wakati.
 
Back
Top Bottom