Kwa wenye magari pata amani moyoni

Kwa wenye magari pata amani moyoni

I have just updated the post with a new a snip pictures of satellite images pulled off google map
 
naomba tutesti kwenye gari langu tuone ufanisi wake
 
Mkuu, hii inaweza ikawa habari njema kwa wenye magari. Lakini je engine ya gari ikizimwa bado kifaa hicho kitakuonyesha gari lilipo?

Tiba
 
Kifaa hiki kwa bahati nzuri hakiendeshwi kwa kutumia engine ya gari! Kifaa hiki kina battery yake ambayo ikiwa charged 100% kinaweza kukaa na charge mda wa siku 7. Pia kinakuja na adaptor ambayo ikifungwa kwenye mfumo wa umeme wa gari au moja kwa moja kwenye battery mda wote kitakuwa na charge
 
Mkuu asante kwa maelezo ya ziada. Sasa kwa kifupi twambie hicho kifaa kinafanyaje kazi. Nia ya swali langu la awali ilikuwa ni kutaka kujua kama mtu anaiba gari langu halafu anapiga kona mbili tatu na kulipaki hilo gari na kuanza kulidismantle, je kifaa hicho bado kitaonyesha kwamba gari lipo wapi? Assume tayari limesambaratishwa tayari kila part iko kivyake, bado hicho kifaa kitaonyesha kwamba gari liko wapi? Je kuna device inayofungwa kwenye gari na kufanya connection na simu yangu? Sasa ikitokea mtu akaiba gari halafu akadisconnet hicho kifaa inakuwaje hapo?

I am just being curious.

Tupo pamoja!
 
Wasiwasi wangu ni kua kama inatumia google map au google earth updates za location hua inachukua muda mrefu kuupdate. Mfano umepaki jengo jipya yenyewe inaweza sema upo nje yaani kama zamani hakukua na jengo hapo itaonesha kweupe. Pia sio maeneo yote yamekua located kuna maeneo maping haipo
 
Hicho kifaa kinawekwa wapi? Maana wezi wa siku hz wanaiba ki@digitali akishaiba anaenda kudisable device yeyote ambayo itamtrack thru Gps.
 
...dogo Digitali ushaleta mzigo ??,we noma sana, pamoja mwana naungaunga ninunue gari nifunge hicho kidubwasha...
 
Last edited by a moderator:
Wasiwasi wangu ni kua kama inatumia google map au google earth updates za location hua inachukua muda mrefu kuupdate. Mfano umepaki jengo jipya yenyewe inaweza sema upo nje yaani kama zamani hakukua na jengo hapo itaonesha kweupe. Pia sio maeneo yote yamekua located kuna maeneo maping haipo
...kama sikosei amesema ukiwa kwenye location yenye signal mbaya kinaleta signal on the spot lakini inakuwa mbaya na baada ya 60 sec inajiupdate...
 
Mkuu asante kwa maelezo ya ziada. Sasa kwa kifupi twambie hicho kifaa kinafanyaje kazi. Nia ya swali langu la awali ilikuwa ni kutaka kujua kama mtu anaiba gari langu halafu anapiga kona mbili tatu na kulipaki hilo gari na kuanza kulidismantle, je kifaa hicho bado kitaonyesha kwamba gari lipo wapi? Assume tayari limesambaratishwa tayari kila part iko kivyake, bado hicho kifaa kitaonyesha kwamba gari liko wapi? Je kuna device inayofungwa kwenye gari na kufanya connection na simu yangu? Sasa ikitokea mtu akaiba gari halafu akadisconnet hicho kifaa inakuwaje hapo?

I am just being curious.

Tiba

Maswali yako Ok hakuna mbaya lengo lako ni kutaka kujua, na mimi najitahidi kukuelewesha, Ukisambaratisha gari kama kitabaki kwenye part yeyote ya hiyo gari, popote itakapopelekwa hiyo part ya gari utapata utapta location ya hiyo part kama ni malango au umekishonea ndani ya seat
Kama nilivyosema awali kifaa hiki kinatumia charge charge ikiisha kikazima ndio basi tena hupati data, ila utakachoambulia ni last location kilipokuwa on
Kwa hiyo unachoona kwenye google map sio gari yenyewe ni location mahali kilipo kifaa hicho, kwa kuwa kiko kwenye gari mahali kilipo ndio na gari ipo hapo hapo. Unless mwizi ajue kwamba kuna kifaa kama hicho kwenye gari akakichomoa na kukitupa
Unatakiwa kwanza usimwambie mtu kuwa una kitu kama hicho kwenye gari iwe ni siri yako
 
Wasiwasi wangu ni kua kama inatumia google map au google earth updates za location hua inachukua muda mrefu kuupdate. Mfano umepaki jengo jipya yenyewe inaweza sema upo nje yaani kama zamani hakukua na jengo hapo itaonesha kweupe. Pia sio maeneo yote yamekua located kuna maeneo maping haipo

Majengo na any physical feature vinaweza kubadilika, ulikuwa uwanja wa wazi kesho limesimama ghorofa, kisichobadilika kwenye map ni location ambayo inakuwa determined na longitude na latitude, gari ikiwa hata ndani ya shimo utapata location
Kifaa hiki kina feature inayoweza kufanya real time tracking, with this feature unaweza kupata exact location at a time t, speed and direction
 
Back
Top Bottom