Digitali
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 424
- 91
- Thread starter
- #41
unaweza weka chini ya seat, kwenye arm rest, au kwenye boot kwa ufupi ni mahali popote unapoweza kukificha, kikubwa iwe ni siri yakoHicho kifaa kinawekwa wapi? Maana wezi wa siku hz wanaiba ki@digitali akishaiba anaenda kudisable device yeyote ambayo itamtrack thru Gps.
Access ya location na data zote zinazo reveal mahali ilipo gari ni exclusive kama hauna user name na password ya kifaa hiki huwezi kupata access