Kwa wenye experience na gari za Jeep

View attachment 1717193

Kuna Jeep inatumia gearbox Oil ya ATF+4. Je ni wapi kwa hapa Dar wanaweza kuwa wanauza hiyo Oil?

Natanguliza shukrani.
Agiza Online mkuu, sindio mnavyofunganaga Mota humu😂😂😂 oh spea zipo kila mahali sikuhizi msituchoshe na maswali ya kipuuzi😂!

Tafuta spear online maana mkiambiwaga Toyota ndio gari rafiki hapa kwetu mnakazaga ubongo. Ingekuwa Prado usingemaliza maduka ma3 ushapata unachotafuta.
 
Alaa Wanasema eti dunia ipo kiganjani 🌎
 
Agiza Online mkuu, sindio mnavyofunganaga Mota humu oh spea zipo kila mahali sikuhizi msituchoshe na maswali ya kipuuzi!

Tafuta spear online maana mkiambiwaga Toyota ndio gari rafiki hapa kwetu mnakazaga ubongo. Ingekuwa Prado usingemaliza maduka ma3 ushapata unachotafuta.

mkuu nacheka tuu comment yako ila umempiga sana kwenye mshono, utafumuka.. msaidie link za online
 
Agiza Online mkuu, sindio mnavyofunganaga Mota humu😂😂😂 oh spea zipo kila mahali sikuhizi msituchoshe na maswali ya kipuuzi😂!

Tafuta spear online maana mkiambiwaga Toyota ndio gari rafiki hapa kwetu mnakazaga ubongo. Ingekuwa Prado usingemaliza maduka ma3 ushapata unachotafuta.
Acha ujinga prado ni za madem🤣
 
Back
Top Bottom