Kwa wazoefu, kunahitajika kitambulisho ?

KijikoYajiko

Senior Member
Joined
May 8, 2012
Posts
106
Reaction score
19
Unapokuwa unaripoti kuanza kazi, kunahitajika any sort of kitambulisho?
Naombeni uzoefu wenu wakuu.
 
Barua uliyoitiwa kazi ni muhimu..kama kwenye kuitwa uliambiwa upeleke na picha waweza kwenda nazo lakini kimsingi kama umeitwa nenda tu na maelekezo mengine utapewa ukifika,wanaweza kukupeleka police kuchukuaa finger print na mengineyo
 
Ok nakushukuru kaka, maana nilikuwa nishaanza kuhaha.
 
Back
Top Bottom