Mimi mbona sijapata tatizo? ebu fuatilia labda ni simu yako tu.
Wewe umepata wapi hizi khabari?suala la mtandao kusumbua linatokana na u cheap wake? mbona kuna wakat zain ilikuwa inasumbua sana, hata voda pia huwa inasumbua.
Inaonekana leo tIGO imechoka na mitambo yake imegoma kutoa sauti... watu hawasikilizani na sometimes simu haziiti kabisa. ni tatizo la zaidi ya masaa sita na wale watumiaji wa mtandao huu cheap ni mateso matupu wakati sekunde za watu zinaliwa... poleni
CHEAP IS EXPENSIVE
Mwamba ngoma Ngozi huvutia upande wake.
Wewe unatumia mtandao upi wa KITAJIRI?
inaonekana huyu jamaa ni mpinzani wa tigo, yamkini anatumia mtandao wa kichaga unaoendelea kunyonya watanzania masikini. tunamkaribisha kwenye familia ya tigo, maana wahenga walisema "UKITAKA KUJUA UHONDO WA NGOMA, INGIA UCHEZE"
teh teh teh teh MTM yeah sometimes tiGo iwa inasumbua nakubali lakini wkt mwingine hata handset nazo za kichina china hizi bana zinachangia sana.
..au ka cellular kake kana virus? heheehehehe...
Acha ushamba bwana mdogo na achana kabisa kutumia simu za kichina mbona two or three months past wateja wa celtel kule Ngorongoro kama sikosei simu zao zilikuwa zikisoma network za uarabuni wakati watu wako Tanzania, hizi ni technologia tu na troubleshooting ni vitu vya kawaida sana katika modern technology, sio kosa kidogo una-blame the whole network
Inaonekana leo tIGO imechoka na mitambo yake imegoma kutoa sauti... watu hawasikilizani na sometimes simu haziiti kabisa. ni tatizo la zaidi ya masaa sita na wale watumiaji wa mtandao huu cheap ni mateso matupu wakati sekunde za watu zinaliwa... poleni
CHEAP IS EXPENSIVE
Mimi sishangai, maana kwetu mbagala ni afadhali ya tigo maana mitandao mingine haipatikani kama unatumia hand set ya double line.
Inaonekana leo [tar 19/8/2009 tIGO imechoka na mitambo yake imegoma kutoa sauti... watu hawasikilizani na sometimes simu haziiti kabisa. ni tatizo la zaidi ya masaa sita na wale watumiaji wa mtandao huu ni mateso matupu wakati sekunde za watu zinaliwa... pole
CHEAP IS EXPENSIVE