Kwa watumiaji wa tigo

Mimi mbona sijapata tatizo? ebu fuatilia labda ni simu yako tu.

Naweza ku-confirm kwamba haikuwa simu yangu tu!!! Basi na kwa siku za karibuni kwa wale wanaotumia zain watakubaliana na mimi kumekuwa na nyakati mtu unaambiwa your phone is not reachable while its reachable

The only reason i brought this up is because tIGO charged even though i couldnt hear anything from the other side
 
suala la mtandao kusumbua linatokana na u cheap wake? mbona kuna wakat zain ilikuwa inasumbua sana, hata voda pia huwa inasumbua.
Wewe umepata wapi hizi khabari?
Unafanya kazi Tigo? kama ndio una haki ya kufukuzwa
Kama hufanyi kazi wewe ni mzushi tuu na hujui mitambo ya gsm inavyofanya kazi!!
lete habari za maana mbona huzungumzii barabara inayokera ya ubungo to Buguruni?
 
Inaonekana leo tIGO imechoka na mitambo yake imegoma kutoa sauti... watu hawasikilizani na sometimes simu haziiti kabisa. ni tatizo la zaidi ya masaa sita na wale watumiaji wa mtandao huu cheap ni mateso matupu wakati sekunde za watu zinaliwa... poleni

CHEAP IS EXPENSIVE

Mwamba ngoma Ngozi huvutia upande wake.

Wewe unatumia mtandao upi wa KITAJIRI?
 
Mwamba ngoma Ngozi huvutia upande wake.

Wewe unatumia mtandao upi wa KITAJIRI?

Hapani situmii wa kitajiri... Natumia tIGO na Zantel, wewe je??

Soma thread nzima uelewe, natumia tIGO na ndio maana niligundua... kusema "cheap is expensive" ni neno la kawaida kama ambavyo wewe umetumia ya "mwamba Ngoma".. Cha maana ujumbe umefika kwa tIGO na wameufanyia kazi

Lazima tuelewe kwamba JF is powerful na ukirusha humu kitu watu wanafanyia kazi
 
teh teh teh teh MTM yeah sometimes tiGo iwa inasumbua nakubali lakini wkt mwingine hata handset nazo za kichina china hizi bana zinachangia sana.
 
inaonekana huyu jamaa ni mpinzani wa tigo, yamkini anatumia mtandao wa kichaga unaoendelea kunyonya watanzania masikini. tunamkaribisha kwenye familia ya tigo, maana wahenga walisema "UKITAKA KUJUA UHONDO WA NGOMA, INGIA UCHEZE"
 
Nisingejua tIGO ina matatizo kama si subscriber!
 
He is deep in shallow water may be next time he will be ok.

Thanks Cozcoz, thats so deep of you, does that make you any better!!??

I am ok and its even before next time
 
teh teh teh teh MTM yeah sometimes tiGo iwa inasumbua nakubali lakini wkt mwingine hata handset nazo za kichina china hizi bana zinachangia sana.

Mkubwa, nina ka cellular ka nokia, na jamaa wa tIGO walisema ni origino so nakaaminia; but truly there was a problem on 19th August... ANyway, in great thinkers, there are always a few great snikers and probably sinkers

I am just wondering kwa nini a few of us are so defensive sometimes!!
 
Acha ushamba bwana mdogo na achana kabisa kutumia simu za kichina mbona two or three months past wateja wa celtel kule Ngorongoro kama sikosei simu zao zilikuwa zikisoma network za uarabuni wakati watu wako Tanzania, hizi ni technologia tu na troubleshooting ni vitu vya kawaida sana katika modern technology, sio kosa kidogo una-blame the whole network
 
Sawa Qul...

Nimeacha ushamba... does that make you feel good huh!!?? Simu za kichina situmii kwani tIGO hutoa simu kilaini hata kama unatumia fisi kwa mwezi!!!

kweli tIGO tamu, naona watu wanavyoipigania!!!
 
Inaonekana leo tIGO imechoka na mitambo yake imegoma kutoa sauti... watu hawasikilizani na sometimes simu haziiti kabisa. ni tatizo la zaidi ya masaa sita na wale watumiaji wa mtandao huu cheap ni mateso matupu wakati sekunde za watu zinaliwa... poleni

CHEAP IS EXPENSIVE

waambie wabongo....
 
Mimi sishangai, maana kwetu mbagala ni afadhali ya tigo maana mitandao mingine haipatikani kama unatumia hand set ya double line.
 
Mimi sishangai, maana kwetu mbagala ni afadhali ya tigo maana mitandao mingine haipatikani kama unatumia hand set ya double line.

Inawezekana mabomu yaliua network mitaa ya mbagala... msikubali!!! lazma waje wawarudishie network kwenye ile minara ambayo insadikiwa kwamba inahatarisha cancer!!
 
Inaonekana leo [tar 19/8/2009 tIGO imechoka na mitambo yake imegoma kutoa sauti... watu hawasikilizani na sometimes simu haziiti kabisa. ni tatizo la zaidi ya masaa sita na wale watumiaji wa mtandao huu ni mateso matupu wakati sekunde za watu zinaliwa... pole

CHEAP IS EXPENSIVE

Jamani wanajamvi... someni basi vizuri munielewe kabla ya kunishuti na vijembe vya china mazee!!??

Je Mumenielewa ujumbe??
 
Hakuna cha handset cheap. Tigo on 19th Aug had serious problems and they commnicated to customers (those affected through sms) and they resumed at around 8:00 pm same day with an apology and a top up 50% to the affected customers. The problem was to majority of customers due to technical fault in their systems and not to cheap handsets, absolutely no.

Again, for tiGo I can say no frequent breakdown as compared to voda and Zain!!! I am subscribed to the 3 providers and I enjoy tiGo most!!!! Mtaniambia ohhh kwa kuwa ni cheap!! Yes, it is cheap and reliable for business!! Believe it or not!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom