Kwa watumiaji wa simu za Redmi /Xiomi

Kwa watumiaji wa simu za Redmi /Xiomi

Ila wabongo bhana
Kwani humu JF kila matatizo ya simu yanayoletwa ni ya simu za Mchina tu? Au nikuletee thread za namna hii ambazo matatizo haya yamewatokea watumiaji wa simu zisizo za China?
Kuna watu wanatumia Chinese phones kwa miaka sasa na hawajapata matatizo haya.
Simu kustack bila matumizi makubwa tena ndani ya muda mfupi hivi sio kawaida, acheni kupotosha watu
Kwa simu za mchina matatizo ni kawaida, simu za mzungu matatizo ni nadra sana
 
Back
Top Bottom