yope
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 368
- 697
Wakuu simu yangu ya Redmi 10C "inastack" sana, Shida inaweza kuwa nini?
Simu hii nimeinunua mwezi wa saba mwaka jana , hata haijamaliza mwaka.
Matumizi yangu ni ya kawaida sana, wala huwa sichezi game kwenye hii simu ila sometimes inastack hadi nakosa raha nayo.
Kwa watumiaji wa hizi simu naombeni msaada , chanzo ni nini?