Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,004
- 10,406
Sawa sawa mkuu ,na kuhusu charging pixel 3a kujaa kw mda mfupi haina madhara?3a 4a sio IP rated kabisa. Yaani ata bafuni usiende nayo.
Ila 3 na 4 ni waterproof. Ip68 rated.
Kwahiyo una sacrifice kimoja una chukua kingine.
3a unapata headphones jack, battery kubwa, ila 3 unapata wireless charging battery dogo, camera mbili selfie, no headphones jack, premium material.
Hapana haina madhara kabisa. Sema tafuta charger simple maana Zina vimba sana battery.Sawa sawa mkuu ,na kuhusu charging pixel 3a kujaa kw mda mfupi haina madhara?
Sawa sawa mkuuHapana haina madhara kabisa. Sema tafuta charger simple maana Zina vimba sana battery.
Kwahy tatz la betri kuvimba ni charge ama suddenly betri zake hazna uimara?Hapana haina madhara kabisa. Sema tafuta charger simple maana Zina vimba sana battery.
Nimesoma mahala pengi ni chaja na overheating ila usiogope kubadirisha battery elfu 50Kwahy tatz la betri kuvimba ni charge ama suddenly betri zake hazna uimara?
Nimeitumia miez 2Mpya au used?
shda battery yake huwez toboa kwa kuanzia asubuh mpaka jioniNjoo nikupe 3 xl gb 128
Kwa 3 laki
Picha umeitoa FB mkuu haiwezekani watu 6 mposti picha hio hioKaribu Mkuu iyo ni Google pixel apo ni usiku kitu inatoa hadi Nyota.
Hizo 3 na 3a bado unazo mkuu?🤣🤣🤣
Mi nilianza 3 na 3a sahivi nipo 4, mwakani January napiga 5 December 6 Pro.
Sema Google kwenye hardware wanafail. 3 battery ilivimba, 3a sio waterproof iliingia maji yaan mvua kdg sana, 4 ipo poa sema battery dogo sana bora uende 4a.
Niligawa mzee.Hizo 3 na 3a bado unazo mkuu?
Hakika mm apa ipo 27% nilisahau kuweka battery savershda battery yake huwez toboa kwa kuanzia asubuh mpaka jioni
Atakam miez miwil izi simu ni used from Uk or Dubai sema zpo cleanNimeitumia miez 2
Nilinunua pixel 2xl Ile simu ni kama paso aiseee!Awap mkuu battery inakaa sana Tena Pixel3a labd ishachakachuliwa
At least 3a mkuu mm pia naek battery saver,inasaidia sana... 3axl big up Ina battery kubwa ila kiujumla ni simu nzuri sana zmetulia kinomaNilinunua pixel 2xl Ile simu ni kama paso aiseee!
Kila ukipiga picha Moja asilimia Moja inaondoka...
Nikauza nikanunua 3a kwenye chaji ikawa poa sana.niliuza nikachukua 3axl kwenye chaj ni super 3700 ila nikichaji saa 12 adi saa 3 usiku ndio nachaji Tena.
Haha au sioo ukaogopa kuvimbiwa😅😅Nilivojua 3a Zina ugonjwa wa kubimba battery nikauza chap
2xl hatar, ila 3a ukiwasha data inakaa chaji kinoma imekaaje hii ishu?Nilinunua pixel 2xl Ile simu ni kama paso aiseee!
Kila ukipiga picha Moja asilimia Moja inaondoka...
Nikauza nikanunua 3a kwenye chaji ikawa poa sana.niliuza nikachukua 3axl kwenye chaj ni super 3700 ila nikichaji saa 12 adi saa 3 usiku ndio nachaji Tena.
Hawa jamaa bana wanapishanisha vitu vichache sana kikubwa wanachopishanisha ni size inches ya simu na ukubwa wa betri Kwa upande wa camera wanapishanisha Kila wanapo toa toleo la mbele yake ya mfano 5&6 haziwezi kuwa sawa kwenye camera tatilia utajua2xl hatar, ila 3a ukiwasha data inakaa chaji kinoma imekaaje hii ishu?