Chukua kwanzia 3 mkuu hizo tu ni kama pasi au fridge hazikai chaji kabisaWakuu, zile simu used za pixel pale china plaza ni salama kweli? Nataka nkachukue kama 2 au 3
Baki hapo Mzee, natumia 4a pia, as long napata updates bado, sijaona simu kali kwa mwonekano, na size kama hii. Labda badae nitakuja kuchua 7a.aah sisi wenye gogle pixel4a kazi tunayo ila ni simu kali kinoma hizi simu.
Usinunue Google Pixel 7ABaki hapo Mzee, natumia 4a pia, as long napata updates bado, sijaona simu kali kwa mwonekano, na size kama hii. Labda badae nitakuja kuchua 7a.
Hiyo ni badae, specifications hazitofautiani sana, kwangu size ni muhimu pia. 7A ni 6.1 kwangu itakuwa comfortable zaidi nikiUpgrade from 4A.Usinunue Google Pixel 7A
Kwanza ni expensive kuliko Google Pixel 7 na Google Pixel 7 ni bora kuliko Google Pixel 7A
Google Pixel 7 ina IP68 rating halafu Pixel 7A ina IP67 Tu
Google Pixel 7 ina better build quality tena ina glass nyuma na inafeel more premium kuliko 7A
Google Pixel 7 ina kamera bora kuliko Pixel 7A kwenye Pande zote, ya mbele na ya nyuma
Bado Google Pixel 7 ina speaker bora kuliko Pixel 7A
Zote zinatumia chipset moja na zinafanana sehemu nyingi ila Google Pixel 7 ni more premium na bei ipo chini
Achana na Pixel 7A, nunua Google Pixel 7 ni bora zaidi kwa pesa yako
SawaHiyo ni badae, specifications hazitofautiani sana, kwangu size ni muhimu pia. 7A ni 6.1 kwangu itakuwa comfortable zaidi nikiUpgrade from 4A.
Chukua Pixel 5 bro, Pixel 5a zina matatizo ya bootloop na kuzima zima hovyo na overheating users wengi wana complain hizi vitu..Naombeni ushauri wanandugu, kati ya google pixel 5 na google pixel 5a nivute ipi? Maana ntanunua simu mpya weekend hii.(Focus yangu kubwa ni kwenye sekta ya Camera. Nahitaji yenye camera nzuri zaidi.)
Chukua Google Pixel 5Naombeni ushauri wanandugu, kati ya google pixel 5 na google pixel 5a nivute ipi? Maana ntanunua simu mpya weekend hii.(Focus yangu kubwa ni kwenye sekta ya Camera. Nahitaji yenye camera nzuri zaidi.)
Nenda kweny setting>network>>Advanced>mobile network ukifika hapo nishtuenimenunua 4a ila hai detect network...no simcard..emergency calls only.
Tuwekee screenshotnimenunua 4a ila hai detect network...no simcard..emergency calls only.
Inaonesha TU hivyo...na hapo Ina laini tayari..nimejaribu laini zaidi ya 5..ila imegoma. Hiyo sehemu ya calls na msgs Iko greyed haini ruhusu kuingia au kufunguka.Tuwekee screenshot
Daaah changamoto sana Mkuu.Inaonesha TU hivyo...na hapo Ina laini tayari..nimejaribu laini zaidi ya 5..ila imegoma. Hiyo sehemu ya calls na msgs Iko greyed haini ruhusu kuingia au kufunguka.
Dogo tatzo mbishi tusikilize sisiInaonesha TU hivyo...na hapo Ina laini tayari..nimejaribu laini zaidi ya 5..ila imegoma. Hiyo sehemu ya calls na msgs Iko greyed haini ruhusu kuingia au kufunguka.
Ukifika kweny mobile network weka mtandao (Airetl TZ ,Vodacom ,Tigo TZ ) then save...Nenda kweny setting>network>>Advanced>mobile network ukifika hapo nishtue
Mkuu issue ni kuwa simu hainiruhusu kufika huko.. hiyo sehemu ya calls na sms haifunguki ..na huko ndiko ziliko hizo settings unazosemea.Ukifika kweny mobile network weka mtandao (Airetl TZ ,Vodacom ,Tigo TZ ) then save...
Nnje ya mada, umenunua shngp mkuu?? Used auMkuu issue ni kuwa simu hainiruhusu kufika huko.. hiyo sehemu ya calls na sms haifunguki ..na huko ndiko ziliko hizo settings unazosemea.