Dola 599 na 899 sheikhe ,saa inaanzia dola 399 ,kama ni mwenzangu na mimi tutulie tu kaka sio level zetuKwani inauzwaje?
Nitamuhonga demu yoyote atakayenifuata pm7=1497,500
7pro=2247,500.
Hapo ndo tofaut ya iOS vs android mkuu Mimi nimtumiaj sana wa android especially Samsung+google pixel sihamahi humo ila iphone ndio simu zangu za mda ote nikiona nimeshika android na-switch iOS.iOS Kuna vitu flan wanavyo android hawana aiseeehawa kinachowaponza na kitakachowakwamisha ni hiyo android one ambayo haina faida yoyote kuwa hivyo.
skin mbovu sijapata kuona,lakini pamoja na kuwa simple bado imeshindwa kuwa nyepesi kama ios japo simu ni ya google na simu ni yao pia.
bora wajiachie tu,likae simu fulani lenye camera kali na UI la kipekee kutoka google.



Chukua hata 3a mkuuu dukan 280&250 inacheza umo battery safi camera Kali uzuri wa google pixels camera zao hazipishani sana simu zao nyingi zinapishana kwenye battery na size inches,display, na vinginevyo.Nazitamani kuna siku nitanunua
Poa mkuu kwa ushauri ma a na hapa natumia infinix smart3 ukipiga picha Kama umeungua na motoChukua hata 3a mkuuu dukan 280&250 inacheza umo battery safi camera Kali uzuri wa google pixels camera zao hazipishani sana simu zao nyingi zinapishana kwenye battery na size inches,display, na vinginevyo.
Karibu Mkuu iyo ni Google pixel apo ni usiku kitu inatoa hadi Nyota.Poa mkuu kwa ushauri ma a na hapa natumia infinix smart3 ukipiga picha Kama umeungua na moto
Poa mkuu kwa ushauri ma a na hapa natumia infinix smart3 ukipiga picha Kama umeungua na moto
