Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,252
- 10,497
Maji ni uhai jamani!Nani hasiyependa maji hapa aseme,sema inahitaji utaalamu,kwa kitaalamu inaitwa "Kunyaza",ukienda Rwanda unakuta mkeka chumbani hamna kutumia godoro,alafu sakafu ya chumbani slopu yake imeelekea bafuni!Hahahaaaahaaa Nduka,chezea natural DAWASCO wewe,siku nyingine msilale kitandani alafu ukome kumsaliti mama yeyo!
hahahaah!!! kumbe mwapenda kuogelea eeh?