Kwa watu wazima tu 35+

Kwa watu wazima tu 35+

For a moment I thought thread itakuwa na something useful kumbe yale yale...:disapointed:
 
nyoooooooooooooooooooo "eti kwa watu wazima 35+""


Wewe mtu mzima??????!!!
Unasaliti ndoa yako alafu bila aibu unakuja kututaarifu humu!!
Real men dnt kiss and tell!!mxxxxxxiiiiiiiiuuuuuu
 
nyoooooooooooooooooooo "eti kwa watu wazima 35+""


Wewe mtu mzima??????!!!
Unasaliti ndoa yako alafu bila aibu unakuja kututaarifu humu!!
Real men dnt kiss and tell!!mxxxxxxiiiiiiiiuuuuuu
Ndo maana sijawaambia watu hadi leo
 
Mkuu ndio maana hiyo background ya kupigishwa misele karibu miezi 11 ni muhimu, pia nikiwaza pesa yangu iliyopotea ningeweza kusomesha watoto yatima hata 10 mwaka mzima.
Duu....watoto 10?kwel wajinga ndio waliwao.........hongera
 
Sikuamini kama Nduka ni mzinifu hivyo. Hatar!!!! Kuna maeneo hakuna maji, unaweza kuendelea kusaliti ndoa yako (kama kufanya hivyo ni sahihi mbele ya Mungu na wanadamu), kisha ukaishi na huyo mwanafunzi. Mtatoa msaada wa maji kwa majirani.
 
ulipasua chupa ya maji ya ujauzito, wataalamu wanasema hiyo ni AMNIOTIC FLUID!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom