Kwa watu wa SINGIDA NA ARUSHA.

kichomi

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
507
54
Heshima mbele wakuu.poleni na kazi ngumu ya kusherehekea miaka 50 migumu
Kuna kitu kinanitatiza sana kichwani nadhani wenzangu mnaweza kunisaidia, nimetembelea bar nyingi kanda ya ziwa wahudumu wanaohudumia wengi ni wa kutoka ARUSHA NA SINGIDA na wanahudumia huduma zote, sasa naomba wenyeji wa mikoa hiyo au wazoefu wanaoijua wanisaidie,JE KATIKA MIKOA HIYO WAKINA DADA WENGI WANAPENDA KUSOMEA UBAMEDI?ni hilo tu nataka kujua.
 
Hao wa kutoka arusha ni wa kabila gani haswa manake arusha yapo makabila mchanganyiko mengi sana. Wengi sio wazaliwa wa hapa. Hebu fafanua mkuu.
 
Heshima mbele wakuu.poleni na kazi ngumu ya kusherehekea miaka 50 migumu
Kuna kitu kinanitatiza sana kichwani nadhani wenzangu mnaweza kunisaidia, nimetembelea bar nyingi kanda ya ziwa wahudumu wanaohudumia wengi ni wa kutoka ARUSHA NA SINGIDA na wanahudumia huduma zote, sasa naomba wenyeji wa mikoa hiyo au wazoefu wanaoijua wanisaidie,JE KATIKA MIKOA HIYO WAKINA DADA WENGI WANAPENDA KUSOMEA UBAMEDI?ni hilo tu nataka kujua.

Mkubwa! Ingetakiwa uwatake radhi wenyeji wa mikoa ulizotaja radhi kwani inaonekana una DHARAU sana na ulilosema siyo kbs kwani Mi nimeshatembea karibu kila mkoa ila sijawahi kuona kama ni watu toka mikoa tajwa hapo juu ndiyo wanaitumikia kazi hiyo,Mi kama mimi ningependa uwatake radhi haraka sana wenye hao la sivyo tafakari tena upya ndiyo uje humu.
 
Mkuu nimeishafanya utafiti hasa mikoa ya kanda ya ziwa,we uliza mtu yeyote atakwambia kina dada wa mikoa tajwa ndio wanasifika kwa hiyo kazi.
 
Tatizo la watu hawaamini kuna bar moja iko Geita inaitwa CLASSIC pub hapo wamejaa top.
 
Heshima mbele wakuu.poleni na kazi ngumu ya kusherehekea miaka 50 migumu
Kuna kitu kinanitatiza sana kichwani nadhani wenzangu mnaweza kunisaidia, nimetembelea bar nyingi kanda ya ziwa wahudumu wanaohudumia wengi ni wa kutoka ARUSHA NA SINGIDA na wanahudumia huduma zote, sasa naomba wenyeji wa mikoa hiyo au wazoefu wanaoijua wanisaidie,JE KATIKA MIKOA HIYO WAKINA DADA WENGI WANAPENDA KUSOMEA UBAMEDI?ni hilo tu nataka kujua.

red and bold: Hebu fafanua hii maneno tafadhali.
 
Kujua kitu/vitu kuna faida nyingi sana,sijui we mwenzangu unasemaje?

umesema umeona wengi wanauza bar na kutoa huduma zote,sasa unataka kujua nini zaidi?kwamba wanalipwa kiasi gani?au wanatumiaje fedha hizo? Sipati logic ya hii thread,zaidi sana imekaa kiudhalilishaji,either ututajie hilo kabila lako lisilo na waa,lenye malaika watupu tulijue
 
Sisi huku kwetu kigoma karibia kila bar mabamed ni ni wahaya, watu kutoka bukoba, karagwe nk. Kama huamini nenda bar maarufu hapa kigoma kama KIZOTA, BREAKPOINT, MASANGA GARDEN nk, ujionee.
 
Sasa maeneo ya Geita,Mwanza,wenye mabar huwa wanatangaza kabisa kwa wateja kwamba wanaleta wahudumu wapya kutoka mikoa husika.
 
Back
Top Bottom