Suby Mushi.
Member
- Jan 28, 2012
- 48
- 1
Muulize lucy Inkya akwambie kwanini leo bungeni alisema mkoa wa Moshi
teh teh najuuutra kumfaham
Muulize lucy Inkya akwambie kwanini leo bungeni alisema mkoa wa Moshi
Hivi hii JF haiwezi kutugawa kwenye 'grade', yaani wenye akili tele, za kawaida, ndogo na sisi 'mambumbumbu'?
wakati unaenda sanya nakukaribisha Boma uje ANGOHehehe sasa mbona husemi?Au ni wa Lomakaa?Fuka kwa wajanja?Kibong'oto?Wanri?Siha?
wakati unaenda sanya nakukaribisha Boma uje mitaa ANGOHehehe sasa mbona husemi?Au ni wa Lomakaa?Fuka kwa wajanja?Kibong'oto?Wanri?Siha?
coz dis isnt coment of urs.
wakati unaenda sanya nakukaribisha Boma uje mitaa ANGO
Hivi Ango garden bado ipo? Nilikuwa nacheza sana mpira pale Gezaulole...miaka hiyo nikiwa nafanya field kwenye road construction coy flani ilikuwa na ofisi karibu na machinjioni hapo.wakati unaenda sanya nakukaribisha Boma uje mitaa ANGO
Inakuhusu?
utakuta huyu jamaa katokea Songea ama Bukoba