Kwa watu wa kilimanjaro....

Nipo machame mgombani hadi uku na access mtandao bila taabu.uchagani maendeleo yalitangulia kabla sijazaliwa .am proud 2b mchaga tena machame boy
 
wakati unaenda sanya nakukaribisha Boma uje mitaa ANGO
Hivi Ango garden bado ipo? Nilikuwa nacheza sana mpira pale Gezaulole...miaka hiyo nikiwa nafanya field kwenye road construction coy flani ilikuwa na ofisi karibu na machinjioni hapo.
 
Tufanye MOSHI ni mji mkuu wa KILIMANJARO na unajulikana kuliko hiyo mingine uliyotaja
 
Back
Top Bottom