KWA WATAHARAMU WA PS3 PLAYSTATION 3 HAPA TUSAIDIANE

Rdj Shibo

Member
Jan 5, 2018
71
40
Kama kichwa hapo kinavyo sema naomba tuasaidiane juu ya ps3 games
mimi ninatatizo ps3 game yangu aioneshi magame yaliyo kuwa kwenye external disk ila nikiweka kwenye ps3 nyingine inaonesha ila kwangu aioneshi magemu zaidi ya nyimbo pamoja na picha tuu ila magame ayaonikani yani inakua kama ainakiitu
NAOMBA MSAADA WENU WANA JAMII
 
hiyo ps ipo jailbroken na multiman ipo?
 
Kama kichwa hapo kinavyo sema naomba tuasaidiane juu ya ps3 games
mimi ninatatizo ps3 game yangu aioneshi magame yaliyo kuwa kwenye external disk ila nikiweka kwenye ps3 nyingine inaonesha ila kwangu aioneshi magemu zaidi ya nyimbo pamoja na picha tuu ila magame ayaonikani yani inakua kama ainakiitu
NAOMBA MSAADA WENU WANA JAMII
Haya "wataharamu" saidieni
 
inafunguka kwa juu super slim
Then kama kwenye app or game screen hamna app inayoitwa multiman au inajua hijawai PS kushikwa na fundi kwa kusudi ya Kui chip(jailbreak) then hujue mpaka iwe jailbroken

NOTE: Huwezi kuinstall jailbreak app kwenye superslim labda unge kuwa na slim ungeweza kutumia software hizo ..... Conclusion ni kutafuta funding wa Ku chip
 
Back
Top Bottom