Kwa Wataalamu wa TEHAMA.

kalanga

Member
Feb 2, 2011
79
69
Naomba msaada wenu,Je ninaweza kutumia licence ya Window Server 2012 R2 ku licence Window Server 2008 R2?
 
Naomba msaada wenu,Je ninaweza kutumia licence ya Window Server 2012 R2 ku licence Window Server 2008 R2?
Mfano , UKo una-drive Toyota corolla, traffic anakusimamisha anataka leseni, wewe unatoa leseni ya Toyota RAV4.. Anakuuliza mbona leseni sio.Una- Point kwa kidole kwenye leseni neno TOYOTA
 
Back
Top Bottom