Unataka mchina au original?piki piki nyingi za kichina ka sunlg na nduguze si imara sana.ila kama unataka piki piki imara andaa kuanzia 5M Hapo utapata XL,DT,SUZUKI,YAMAHA, ambazo ni imara.je wewe umependa zipi?kama ni mchina sema nikupe chaguo.na kama ni original sema nikupe chaguo pia.Nina uzoefu na piki piki aina zote hizo.