Kwa wataalam wa pikipiki tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wataalam wa pikipiki tu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by fikirini, Sep 8, 2011.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu naomba mnisaidie ni aina gani ya pikipiki ambayo ni imara kwa mazingira ya kila namna hasa vijijini, nahitaji kujua kabla ya kuingia madukani. Ni vyema kama mtanidokeza pia bei yake kwa wale mtakaokuwa na uelewa
  asanteni sana
   
 2. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Unataka mchina au original?piki piki nyingi za kichina ka sunlg na nduguze si imara sana.ila kama unataka piki piki imara andaa kuanzia 5M Hapo utapata XL,DT,SUZUKI,YAMAHA, ambazo ni imara.je wewe umependa zipi?kama ni mchina sema nikupe chaguo.na kama ni original sema nikupe chaguo pia.Nina uzoefu na piki piki aina zote hizo.
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwa sasa ni mchina tu ndio anafaa Sung LG
  Spear za kumwaga
  Ipo reasonable sana katika fuel consumption
  Bei rahisi
  Sio mbovu sana na zinatengenezeke kirahisi

  Lakini pia kuna Suzuki, Honda, Yamaha,
  Hizi ni imara zaidi
  spaea zinasumbua kidogo
  Bei imesimama kimtindo (kama ya vitz au starlet)

   
 4. fikirini

  fikirini Senior Member

  #4
  Sep 9, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  asante mkuu, hivi hizi sun lg hazina matoleo? i mean ipi ni latest model kwa sasa na je ni imara kuliko matoleo yaliyotangulia?
   
 5. fikirini

  fikirini Senior Member

  #5
  Sep 9, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa vijisenti nilivyonavyo sasa naomba unipe ushauri wa hizo kichina tu, baadaye nitaona kama nitaweza opt hizo original

   
 6. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  NUNUA SUNLG NDUGU YANGU!lita 1 unatumia km 35 hadi 40. Pia gharama za matengenezo ni rahisi sana,spea bei cheee.Naitumia sunlg toka 2009 mpaka leo ipo nondo.bei kwa sasa ni kuanzia 1.4M
  ukiitunza inakutunza..ila kuwa mwangalifu zinaua sanaaaa.
   
 7. M

  Mputi Member

  #7
  Sep 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bro last 2 weeks Sun LG kkoo ilikuwa inauzwa 1.8M kwa mchina ndio toleo lililosimama zaidi, pia Kuna TBETTER C 150, sio mbaya haipishani sana na sun lg yenyewe inauzwa 1.6M kwa toleo la mwanzo na 1.7M kwa new model ambayo imesimama balaa
   
Loading...