Kwa wataalam wa kufunga madishi

Kwa wataalam wa kufunga madishi

mkumbatie

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
75
Reaction score
8
Mimi nina dishi kubwa la free channel tatizo la dishi langu ni wakati wa mvua channel hazioneshi nini tatizo na nifanyaje ili kuepukana na tatizo hilo plz naomba msaaada.
 
Back
Top Bottom