Wapo wengine hawajui waje kuwa mabingwa wa nini: kasomee masikio!
89.7% ya vijana siku hizi wanavaa "earphone" spika za masikioni kutwa kuchwao. Japo wao ni vijana, masikio yao yana maileji nyingi kuwazidi umri. Yatakapojibu madaktari wa masikio mtakuwa bize sana kuokoa jahazi.