FANANI MTENZI
Senior Member
- Jul 4, 2017
- 106
- 95
Tujadili pamoja kuhusu mwenendo wa riwaya nzima.Uchambuzi uambatane na maswali mbalimbali kuhusu simulizi kadri inavyoendelea kutolewa hapa mara mbili kwa wiki.Tuenzi lugha ya kiswahili...
Mmmmmmmh, kweli vyuma vimekaza.
Kumbe ndiyo maana Dr. Shika alktaka kununua nyumba za lugumi ila network haiko strong hadi transactions zote zika fail????