Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

Siku hizi watu wanajali ndoa kuliko upendo. Watu wanfunga ndoa lakini baada ya miezi miwili nyumba haina amani.

Ngono ndio imetawala kwenye vichwa vya watu. Wanawake kisingizio chao kikubwa ni kuwa mwanaume hamridhishi kwa hata kama huyo mwanaume atampigania vipi ataishia kula makombo.

Haya mambo bwana ni magumu mno cha kufanya ni kuomba mungu tu maana kua single haiwezekan upweke nao tabu,mwili nao unahitaji watu hawapendeki yan hata cjui watu tuiije dah!
 
Haya mambo bwana ni magumu mno cha kufanya ni kuomba mungu tu maana kua single haiwezekan upweke nao tabu,mwili nao unahitaji watu hawapendeki yan hata cjui watu tuiije dah!
ni muimu sana kuomba mana huwezi kumpata kwa kutumia hisia na akili zako mr right guy
 
mapenzi ni magumu mno
kama huna moyo wa chuma bora kukaa nayo pembeni

unayemfeel sana, wala yeye anakuona kawaida mno. Sijajua kwa nini
umeonaeeeeeeee alafu usiyempenda kabisa ndio anakupenda na anamzuka na ww mbaya mnoooooo.............cjui kwanini
 
Mie mwenyewe siwezi kumpigania mwanaume kwa sababu yoyote (labda akiwa kwenye coma ama kadata!). Mapenzi ni hiari, nitamruhusu achague kuwa nami kwa mapenzi, otherwise nachukua ndogo ndogo! Muhimu nitamlinda kama ataniruhusu tu! Basi!
sio kupigana na mwanaume mwenzio kisa msichana hapana ni kumpigania mwenzio katika raha na shida kusudi ni not to loose her in anycase
 
Kiukweli hiki kipengere cha mapnz ni pasua kichwa tu humu dunian!
acha mpz mana sasa nimeamini kwanini hua mtu anajiuaga zamani nilikua naona ni upumbavu wa hali ya juu kumbe kuna sasa ikifika akili inastack hapo ndipo shetani wa kujiua anakuingia na kukuendesha kuelekea ktk kitanzi...................god fobidoooooooooooo
 
duh, yaani wenzi wenu mnawaita mitambo ya maumivu... haya bana

Si ndo kweli, they never care the love we feel for them, when they decided to leave us without any reason. Just because someone else have been hunted already
 
Mie mwenyewe siwezi kumpigania mwanaume kwa sababu yoyote (labda akiwa kwenye coma ama kadata!). Mapenzi ni hiari, nitamruhusu achague kuwa nami kwa mapenzi, otherwise nachukua ndogo ndogo! Muhimu nitamlinda kama ataniruhusu tu! Basi!
we noma naona uko used na AK47
 
Afu wewe dogo, nani kakuruhusu kuvuta bhange yangu? Ntakusemea kwa dingi!
Maisha haya yashakua mafupi hakuna haja ya kuuana kwa strec especial kujihucsha na wanaume ndevu ambao bado wana akili za kivulana ndio wanakuaga na majibu ya dharau km hayo,cheki waiting list km kuna mwenye akili ya kimwanaume songesha maisha mapnz hayalazimshwi atii!
 
pole yamekukuta ama? watu wanachezea bahati adimu kama hizi.
karibu kwangu Aminata
 
Dada ww acha tu!cjui kwann wanaigiza kupenda ile hali moyon hamna kitu!ndio maana mapnz ya kweli yamebaki msamiati mgumu!

Lakini tukija kwa upande wa pili.......kama wewe ndie ulieanza kuyakosea thamani mahusiano yenu, basi sio mbaya kama kampata m-bora ambaye anaona thamani yake ni kubwa kuliko wewe!! So, kukwambia hivyo....anaona ni bora akampiganie huyo mwingine kuliko wewe usiejua kuthaminisha!!!
 
Heheehe! Kumchunga mkubwa mwenzio kazi bora uchunge mbuzi 46! Hakuna haja ya kushikana wala kutukanana! Hata nimkute na mtu ntamuuliza tu vipi? Na huyo bibie hata sisemi nae, kama hajui kuchuna sikawii kumfundisha na kumuelewesha wapi kuna ngozi lainiii!
Cha kufia? Kwani umemzaa wewe, eboo! Hebu mie, wknd imebakia kiduchu,lol
we noma naona uko used na AK47
 
Let love fight for u
that's the spirit...

Mie mwenyewe siwezi kumpigania mwanaume kwa sababu yoyote (labda akiwa kwenye coma ama kadata!). Mapenzi ni hiari, nitamruhusu achague kuwa nami kwa mapenzi, otherwise nachukua ndogo ndogo! Muhimu nitamlinda kama ataniruhusu tu! Basi!
 
Lakini tukija kwa upande wa pili.......kama wewe ndie ulieanza kuyakosea thamani mahusiano yenu, basi sio mbaya kama kampata m-bora ambaye anaona thamani yake ni kubwa kuliko wewe!! So, kukwambia hivyo....anaona ni bora akampiganie huyo mwingine kuliko wewe usiejua kuthaminisha!!!
yote yanawezekana
 
Heheehe! Kumchunga mkubwa mwenzio kazi bora uchunge mbuzi 46! Hakuna haja ya kushikana wala kutukanana! Hata nimkute na mtu ntamuuliza tu vipi? Na huyo bibie hata sisemi nae, kama hajui kuchuna sikawii kumfundisha na kumuelewesha wapi kuna ngozi lainiii!
Cha kufia? Kwani umemzaa wewe, eboo! Hebu mie, wknd imebakia kiduchu,lol
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day girl
 
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli

mie ntajisikia poa tu mana na mimi siwezi kufa kwa kumpigania yeye.
 
Back
Top Bottom