Kwa wasichana tu plzzzzzzzzz

umenifurahisha sana mpz na waiting list inabidi nikaangalie huko kwa sasa na kumpa mtu bonge la sapraz

Maisha haya yashakua mafupi hakuna haja ya kuuana kwa strec especial kujihucsha na wanaume ndevu ambao bado wana akili za kivulana ndio wanakuaga na majibu ya dharau km hayo,cheki waiting list km kuna mwenye akili ya kimwanaume songesha maisha mapnz hayalazimshwi atii!
 
yote yanawezekana lkn ni vema kutokesema mana unamuumiza mwenzi wako

Asante kwa kutukarisha @aminata.mm kwa mtazamo wangu sioni sababu ya kukaa na mt usiyempenda umpotezee muda wake.au kumuacha kwa maneno ya dharau kama hayo haina maana pia ninachokiona hapa mt kama huyu hakua na mapenzi kwako toka mwanzo wala sio kwamba kuna kosa ulilomtendea wala nini.alikutamani.wewe uliyeambiwa hapa unatakiwa uwe jasiri japo inauma sana ila shukuru amekupa ukweli mapema kuliko angekaa kimiya uje kugundua badae pengine wakati unagundua na ugonjwa umeshapata.haina maana.pia akikueleza amekufungulia njia ya kutuliza akili na kumtafuta akupendae.
 
Kuna kitu kimoja wanawake mnakisahau mnapoanzisha mahusiano. Kitu chenyewe nikumfanya mwanaume abebe mzigo wote wa matatizo yako bila kujali.
hakuna mi naona tunasahau kwa kuwaamini sana ndio mana wanatuumiza
 
Maisha haya yashakua mafupi hakuna haja ya kuuana kwa strec especial kujihucsha na wanaume ndevu ambao bado wana akili za kivulana ndio wanakuaga na majibu ya dharau km hayo,cheki waiting list km kuna mwenye akili ya kimwanaume songesha maisha mapnz hayalazimshwi atii!
thanx wangu....................umenifanya nimepata afueni kidogo loh!
 
Mapenzi ya siku hizi yamebaki kwenye vitu na sio kwenye moyo.
Mwanaume anamuacha mwanamke anayempenda lakini anamfuta mwanamke mwingine kwa kigezo cha sura au umbo. Hivyo hivyo mwanamke anamwacha mwanaume anae mpenda nakumfuata mwanaume mwingine labda mwenye fedha au handsome.

Yaani siku hizi ni vururu vururu

Yan hata cjui hii dunia inaenda wapi,maana watu wanakomaa na tamaa za maisha na vitu na upendo haupo tena,ni usanii na kudanganyana ndoa imekua maigizo
 
Ashukuriwe mungu hakuna mwenye uwezo wa kujua yaliyo moyon mwa mwingine vinginevo dunia ingebaki tupu na wanyama tu na binadam ungekuta tushauana kwa kugundua namna mtu anavojipanga kumtapeli mwenzie kimapnz!
haaaaaaaaaaaa cantalisia loh! nimeipenda thinking capacity yako mpz
 
haaaaaaaaaaaa cantalisia loh! nimeipenda thinking capacity yako mpz

Ww imajin cku ya kwanza anakutokea namna alivokua anakubembeleza na promic zenye akili na zilizojaa upendo wa thati alafu ukagundua moyon kuwa amepanga kukutapeli ungemfanyaje,km co kumkimbiza na panga!
 
hakuna mi naona tunasahau kwa kuwaamini sana ndio mana wanatuumiza

Inategemea umempendea nini maana mwanaume usione amenyamaza wakati ukadhani tayari umeshapendwa kumbe anakupimia.

Mwanamke anapoanza kukupa shida zake hapo lazima ujiulize maswali mara mbili mbili
 
ilo liko wazi ............ila sio mzuka kumwambia mwenzio live eti cwez kukupigania hata siku moja wanawake wako kibao mm sinitaonekana chizi kukuganda ww tu

na wanawake wanasema unadhani nipo na wewe tu! Ninamarafiki kibao wa kiume ukitaka ondoka.
 
Ladies kuwa singo real does pay if at all u can manage,vinginevyo tutaishia tuu my boyfrend this, my boyfrend tht,till our hair turn white.
 
Yan hata cjui hii dunia inaenda wapi,maana watu wanakomaa na tamaa za maisha na vitu na upendo haupo tena,ni usanii na kudanganyana ndoa imekua maigizo

Siku hizi watu wanajali ndoa kuliko upendo. Watu wanfunga ndoa lakini baada ya miezi miwili nyumba haina amani.

Ngono ndio imetawala kwenye vichwa vya watu. Wanawake kisingizio chao kikubwa ni kuwa mwanaume hamridhishi kwa hata kama huyo mwanaume atampigania vipi ataishia kula makombo.
 
Mapenzi ya siku hizi yamebaki kwenye vitu na sio kwenye moyo.
Mwanaume anamuacha mwanamke anayempenda lakini anamfuta mwanamke mwingine kwa kigezo cha sura au umbo. Hivyo hivyo mwanamke anamwacha mwanaume anae mpenda nakumfuata mwanaume mwingine labda mwenye fedha au handsome.

Yaani siku hizi ni vururu vururu
yani ni balaaaaaaaaaaa tupu mkuu
 
Ladies,,incase u didn't know men are hurting machines. Don't get twisted...
 
naona views kibao...replies chachee..
nina mashaka vidume wengi tumechungulia...
 
Ashukuriwe mungu hakuna mwenye uwezo wa kujua yaliyo moyon mwa mwingine vinginevo dunia ingebaki tupu na wanyama tu na binadam ungekuta tushauana kwa kugundua namna mtu anavojipanga kumtapeli mwenzie kimapnz!

Ndo maana Lady Jay Dee, alisema KAAATU, USIUSEMEE MOYO WA MWENZIO.
 
Back
Top Bottom