teh teh teh.
kuna watu hii sehemu nilipo wanahisi nimeshanganyikiwa.
hapa nilipo hospitali ya mnazi mmoja ipo karibu huenda nikapekwa huko kupimwa akili
hahahahahahaaaa
tufunge mjadala mpaka muda mwengine.
nitakuletea stori za tagon, eunseom na wale wahuni waliopaka rangi usoni kama wacheza ngoma za uchawini.
Nimependa Saya Anavyomuaangalia Tanya.. (Siri Yako Usiseme)teh teh teh.
kuna watu hii sehemu nilipo wanahisi nimeshanganyikiwa.
hapa nilipo hospitali ya mnazi mmoja ipo karibu huenda nikapekwa huko kupimwa akili
hahahahahahaaaa
tufunge mjadala mpaka muda mwengine.
nitakuletea stori za tagon, eunseom na wale wahuni waliopaka rangi usoni kama wacheza ngoma za uchawini.
yule amezidiiiiHahahhahaa. Kama Yule Muhuni Aloongozana Na Eunseom Kwenda Kwa Hao Mabaharia Yaani Yule Ndo Baharia Kabisaa.
Watakavyo Kubebe kukuingiza Umo Mnazi Nijulishe, Niweke Tangazo Umu.teh teh teh.
kuna watu hii sehemu nilipo wanahisi nimeshanganyikiwa.
hapa nilipo hospitali ya mnazi mmoja ipo karibu huenda nikapekwa huko kupimwa akili
hahahahahahaaaa
tufunge mjadala mpaka muda mwengine.
nitakuletea stori za tagon, eunseom na wale wahuni waliopaka rangi usoni kama wacheza ngoma za uchawini.
nimeshaanza kuwa na wasiwasi na mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.Nimependa Saya Anavyomuaangalia Tanya.. (Siri Yako Usiseme)
Kwani Mabaharia Wapoje!?yule amezidiiii
ndani ya dakika moja anaweza kukusaliti mara 10.
yule si baharia bali ni mzamia lulu
teh teh muda huo nitaupata wapiWatakavyo Kubebe kukuingiza Umo Mnazi Nijulishe, Niweke Tangazo Umu.
hilo neno mpaka leo sijafahamu maana yake halisiKwani Mabaharia Wapoje!?
We Mtoto Mzuri Vile Atamuachaje Kwa Mfano!nimeshaanza kuwa na wasiwasi na mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.
wapi ahjumma hye kyo
sijui ana mapengo ndio maana akatelekezwa?
nashukuru kwa kuliona hilo.We Mtoto Mzuri Vile Atamuachaje Kwa Mfano!
Yaani Ile Ni Zaidi Ya Maigizo Sikwa Macho Yale.
Basi Nikiona Kimya Nitajua Tayariteh teh muda huo nitaupata wapi
ukishatiwa kwenye ambulance neno pekee litakalokufanya utolewe ni kumwambia dereva mimi ni tajiri niliyeficha mali yangu nyumbani kwako
hongera mke mtarajiwaHongera Babu Matarajiwa.
Yah Asipaache Pale Ivyi Ivyi Yupo Vizuri Tanya.nashukuru kwa kuliona hilo.
pengine baada ya miezi miwili ijayo tutasikia breaking news ya ukweli
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahhongera mke mtarajiwa
pengine yupo anayemlinda bibiye, labda atumie njia ya mapinduzi kama juma kasejaYah Asipaache Pale Ivyi Ivyi Yupo Vizuri Tanya.
nimeota unafunga ndoa.Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahah
Una Utani Kweli Kweli..
Iyo Mke Mtarajiwa Hapana Kiukweli Na Nani Kwanza!?
Ampindue tu! Kama Wameelewana.pengine yupo anayemlinda bibiye, labda atumie njia ya mapinduzi kama juma kaseja
Hahahahahaha! Naiomba Iyo Ndoto Puleez Nami Niione Maana Mhh!nimeota unafunga ndoa.
mwenza wako nitamtaja siku chache zijazo
kama nitakavyompindua mimi huyo niliemuota ndoto yangu ya asubuhiAmpindue tu! Kama Wameelewana.
itabidi tukamfukue sheikh yahya atupe tafsiri sahihi ya ndoto.Hahahahahaha! Naiomba Iyo Ndoto Puleez Nami Niione Maana Mhh!
Isijekua Nawewe tu 😷🤗