1 na 2
KIM YOUNG-CHUL almaarufu kama BAEK SAN
Jina lile lile alotumia kwenye IRIS1 na IRIS2
Leo tena amelitumia kwenye hii CRIMINAL MINDS
Mkuu nimejaribu kutumia hiyo Dramafire aisee iko vizuri kwenye Mb mfano Episode ya 1na2 kila moja ina Mb 160 wakati Dramanice ya kwanza tu ina 578. Aisee Dramanice wameniiba sana, tatizo lnakuja hapa Dramafire nimedownload episode mbili lakin nilivyo jaribu ya tatu na kuendelea imegoma inazunguka tu ikifika 21% inakata yaan haiendelei, pia hizo mbili haziingii kwenye memory kuziona nazionea kule niliko download tu. Myasiantv nayo nimejaribu wanazingua tu nielekeze hapo nn nifanyeDuuuh!! Jaribu kucheki Dramafire au Myasiantv, Dramanice inanyonya Sana Mb,Iyo drama ni ya Mwaka Jana Kama Sikosehi Kwa Iyo aiwezi kuwa Na Mb zote Hizo Kama Izi Mpya, Coz Izi mpya zenyewe Zina Kama Mb 300 mpka Nne, Sa Jaribu kucheki Uko Kama Auyojari
Uo Ndo ubaya wa Dramafire kwa Drama Za Muda Mara Nyingi Huwa Inasumbua Sijuh Awana Server Nzuri, MyAsian Apo Kama Imegoma Hmmm!!! Labda Jaribu Dramacool, Au ukaze Moyo urudi Uko Uko Kwa DramaniceMb...Mkuu nimejaribu kutumia hiyo Dramafire aisee iko vizuri kwenye Mb mfano Episode ya 1na2 kila moja ina Mb 160 wakati Dramanice ya kwanza tu ina 578. Aisee Dramanice wameniiba sana, tatizo lnakuja hapa Dramafire nimedownload episode mbili lakin nilivyo jaribu ya tatu na kuendelea imegoma inazunguka tu ikifika 21% inakata yaan haiendelei, pia hizo mbili haziingii kwenye memory kuziona nazionea kule niliko download tu. Myasiantv nayo nimejaribu wanazingua tu nielekeze hapo nn nifanye
Sent using Jamii Forums mobile app
Uo Ndo ubaya wa Dramafire kwa Drama Za Muda Mara Nyingi Huwa Inasumbua Sijuh Awana Server Nzuri, MyAsian Apo Kama Imegoma Hmmm!!! Labda Jaribu Dramacool, Au ukaze Moyo urudi Uko Uko Kwa DramaniceMb...
Anhaa,Thanks, Viki nayo inkubari kudownload kweli???Dramacool ndo dramanice, zina UI tofauti ila ukitaka kudownload zote zinakudirect kwenye site moja
Queen for seven days ni kali sana npo kuicheki npo episode ya 13 mtiririko wa story na matukio ni hatari
Izo Sura Tatu Apo Juu Ukiziangalia ata Kwa Kupitisha Macho Tuuh,Unaona Kabisa Ni Watu Ambao Wapo kwenye Hali Gani
Acting Yao Ni Inaanzia Usoni Mwao,Uso Unaelezea Kilichomo Ndani ya Nafsi zao kuwa hii kazi Wanayofanya Ni Kitambulisho Tosha cha Uhakika Wa Ugali Wao wa Kila Siku Na Apo Inabidi Aweke Juhudi Zake Zote Ili Kesho Umuuone Tena Kwenye Kazi Nyengine...NIDHAMU YA KAZI...
Niliwahi kujarbu Dramacool kule ndio mizinguo ya maana afadhal hata Dramafire. Nimeona nirudi kule kule niliko zoea (Dramanice) kwasasa kuanzia episode ya 3 ni 330Mb nakuendeleaAnhaa,Thanks, Viki nayo inkubari kudownload kweli???
Aksante Na ubarikiwe MkuuQueen for seven days ni kali sana npo kuicheki npo episode ya 13 mtiririko wa story na matukio ni hatari
Sent from my GT-S7562 using JamiiForums mobile app
Uku Mbele Ndo Usiseme,Ila ukimaliza Iyo Naomba Ungana Nami Kwenye The King Love Pleez,Coz Iyo wiki Hii Ya kesho ndo Inaisha ..Kwaiyo Tuungane Na Utamu Wa hii NyengineQueen for seven days ni kali sana npo kuicheki npo episode ya 13 mtiririko wa story na matukio ni hatari
Sent from my GT-S7562 using JamiiForums mobile app
Pole Ila usijari Coz Autojutia...Niliwahi kujarbu Dramacool kule ndio mizinguo ya maana afadhal hata Dramafire. Nimeona nirudi kule kule niliko zoea (Dramanice) kwasasa kuanzia episode ya 3 ni 330Mb nakuendelea
Ngoja nkutafutieNatafuta ost ya descendants of the sun ukiachana na You are my everything sijui hata unaitwaje ule wimbo nimejitahidi kuutafuta nimeshindwa. Damushin msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu. Ile iliyokuwa inaimba kutoka kwenye simu ya Dr KangNgoja nkutafutie
Mkubwa pitia hii article ya huyu jamaa kaelezea jinsi ya kudownload Series zoteMkuu nimejaribu kutumia hiyo Dramafire aisee iko vizuri kwenye Mb mfano Episode ya 1na2 kila moja ina Mb 160 wakati Dramanice ya kwanza tu ina 578. Aisee Dramanice wameniiba sana, tatizo lnakuja hapa Dramafire nimedownload episode mbili lakin nilivyo jaribu ya tatu na kuendelea imegoma inazunguka tu ikifika 21% inakata yaan haiendelei, pia hizo mbili haziingii kwenye memory kuziona nazionea kule niliko download tu. Myasiantv nayo nimejaribu wanazingua tu nielekeze hapo nn nifanye
Sent using Jamii Forums mobile app