Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

273b3d7bf029a1644fe5eae340ffd679.jpg

Ile k2 ya CRIMINAL MINDS ndio Ongoing now nmecheki episode 2 naona km vle inanshawsh kuendelea kufuatilia ikumbukwe humu ndani kuna yule mzee wa IRIS 1 na 2
a0b6d61102fc63a030b16b6a39e5513a.jpg

KIM YOUNG-CHUL almaarufu kama BAEK SAN
Jina lile lile alotumia kwenye IRIS1 na IRIS2
Leo tena amelitumia kwenye hii CRIMINAL MINDS
Sasa sijui atafanya km alivyofanya kwenye IRIS mm cjui ngoja 2cheki..........

Bila kumsahau mkali
af1e2e53c000b2037f1aae9226e905fd.jpg

LEE JOON-GI
Yule yule wa JOSEON GUNMAN,SCARLET HEART RYEO,ILJIMAE na SCHOLAR WHO WALKS THE NIGHT

Km bado hujazichek hzo episode mbili zikech na download hapa
Criminal Minds - Drama Cool
5d89052b48fd55c947c843354756c1e4.jpg
 
Huyu mzee namkubali sana. Pia yupo kwenye emperor wang gun 태조 왕건/taejo wang geun/ alicheza kama mfalme wa taebong/majin/hugorguryeo/ emperor gong ye 공예
1 na 2
a0b6d61102fc63a030b16b6a39e5513a.jpg

KIM YOUNG-CHUL almaarufu kama BAEK SAN
Jina lile lile alotumia kwenye IRIS1 na IRIS2
Leo tena amelitumia kwenye hii CRIMINAL MINDS
 
Duuuh!! Jaribu kucheki Dramafire au Myasiantv, Dramanice inanyonya Sana Mb,Iyo drama ni ya Mwaka Jana Kama Sikosehi Kwa Iyo aiwezi kuwa Na Mb zote Hizo Kama Izi Mpya, Coz Izi mpya zenyewe Zina Kama Mb 300 mpka Nne, Sa Jaribu kucheki Uko Kama Auyojari
Mkuu nimejaribu kutumia hiyo Dramafire aisee iko vizuri kwenye Mb mfano Episode ya 1na2 kila moja ina Mb 160 wakati Dramanice ya kwanza tu ina 578. Aisee Dramanice wameniiba sana, tatizo lnakuja hapa Dramafire nimedownload episode mbili lakin nilivyo jaribu ya tatu na kuendelea imegoma inazunguka tu ikifika 21% inakata yaan haiendelei, pia hizo mbili haziingii kwenye memory kuziona nazionea kule niliko download tu. Myasiantv nayo nimejaribu wanazingua tu nielekeze hapo nn nifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uo Ndo ubaya wa Dramafire kwa Drama Za Muda Mara Nyingi Huwa Inasumbua Sijuh Awana Server Nzuri, MyAsian Apo Kama Imegoma Hmmm!!! Labda Jaribu Dramacool, Au ukaze Moyo urudi Uko Uko Kwa DramaniceMb...
 
Dramacool ndo dramanice, zina UI tofauti ila ukitaka kudownload zote zinakudirect kwenye site moja
Uo Ndo ubaya wa Dramafire kwa Drama Za Muda Mara Nyingi Huwa Inasumbua Sijuh Awana Server Nzuri, MyAsian Apo Kama Imegoma Hmmm!!! Labda Jaribu Dramacool, Au ukaze Moyo urudi Uko Uko Kwa DramaniceMb...
 
36046581871_b765d32680_c.jpg

Izo Sura Tatu Apo Juu Ukiziangalia ata Kwa Kupitisha Macho Tuuh,Unaona Kabisa Ni Watu Ambao Wapo kwenye Hali Gani
Acting Yao Ni Inaanzia Usoni Mwao,Uso Unaelezea Kilichomo Ndani ya Nafsi zao kuwa hii kazi Wanayofanya Ni Kitambulisho Tosha cha Uhakika Wa Ugali Wao wa Kila Siku Na Apo Inabidi Aweke Juhudi Zake Zote Ili Kesho Umuuone Tena Kwenye Kazi Nyengine...NIDHAMU YA KAZI...
Queen for seven days ni kali sana npo kuicheki npo episode ya 13 mtiririko wa story na matukio ni hatari

Sent from my GT-S7562 using JamiiForums mobile app
 
Anhaa,Thanks, Viki nayo inkubari kudownload kweli???
Niliwahi kujarbu Dramacool kule ndio mizinguo ya maana afadhal hata Dramafire. Nimeona nirudi kule kule niliko zoea (Dramanice) kwasasa kuanzia episode ya 3 ni 330Mb nakuendelea
 
Queen for seven days ni kali sana npo kuicheki npo episode ya 13 mtiririko wa story na matukio ni hatari

Sent from my GT-S7562 using JamiiForums mobile app
Uku Mbele Ndo Usiseme,Ila ukimaliza Iyo Naomba Ungana Nami Kwenye The King Love Pleez,Coz Iyo wiki Hii Ya kesho ndo Inaisha ..Kwaiyo Tuungane Na Utamu Wa hii Nyengine
 
Mkuu nimejaribu kutumia hiyo Dramafire aisee iko vizuri kwenye Mb mfano Episode ya 1na2 kila moja ina Mb 160 wakati Dramanice ya kwanza tu ina 578. Aisee Dramanice wameniiba sana, tatizo lnakuja hapa Dramafire nimedownload episode mbili lakin nilivyo jaribu ya tatu na kuendelea imegoma inazunguka tu ikifika 21% inakata yaan haiendelei, pia hizo mbili haziingii kwenye memory kuziona nazionea kule niliko download tu. Myasiantv nayo nimejaribu wanazingua tu nielekeze hapo nn nifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa pitia hii article ya huyu jamaa kaelezea jinsi ya kudownload Series zote

DOWNLOAD SERIES,MOVIES, SEASONS, DOCUMENTARIES NA ANIMATIONS

Mm nmemuelewa sana yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom