Na hizi ndio Apps zangu kutokana jailbrake
View attachment 219158
Kaka naomba kuuliza! Nina iPhone 5 imelock ICloud... Unajinsi unaweza saidia? With thanks!!
Kwasasa hakuna njia ya uhakika inaweza ku bypass icloud lock
mkuu i cluod njis rahis ni umtamfute mtu aliyekupa au kukuuzia akusaidie zaid ya hapo utahangaika tu. au uza kama spare tu kwa mtu waweza kuniuzia pia
Wapi wadau wa Apple?
Watu mnavunja jela dah nyie noma
Watu wengine Bwana wanapenda kuharibu MADA za wengine kwa kuweka maneno wanayojua wenyewe ili tu MADA hiyo ipoteze muelekeo.
Kazi na dawa mkuu. Comment yangu haipo kwenye kuvunja mada, bali nimeiweka kikomedi ili wadau wacheke wapanue mapafu, akili ilirelax kisha waendelee kutupa ujuzi wa jailbrake, na si kuharibu mada.
Mimi ni mgeni sana hasa kwenye Iphone ambayo imekuwa Jailbreacked mimi nina Iphone 4s ios 8.1.2 tayari cydia anajua vizuri anaweza kunipa ABC na mimi nikafaidi@Paul S.S.
Mkuu naomba ufafanuzi ili kuwekana sawa kwa baadhi wasio na uelewa na jailbreakingWakuu wale wadau wa Device za Apple tupeane maujanja ya tweak na apps kwa device ambazo zimekua jailbroken
So far hizi ndio tweaks zangu, kama unajua ipo kali tupia twende sawa
View attachment 219154
Una maanisha tayari umeisha jailbrake iphone yako?