sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
dah ningekuwa na cd ningekupatia mdau ila kwa sasa ninayo tu setup yake kwenye pc ni nipi iringa huku labda tungekuwa karibu hata ningukunyonyea...ila flightgear sasa wametoa version 2.10 ndo latest ni kama 700mb hivi mi nimeishusha juzijuzi tu na ni nzuri sana..hapa nipo multiplayer ila imenilazimu niende kwenye airports za watu huko nje ili nikutane angalau na wachezaji wengine maana hapa HTDA unajikuta upo mwenyewe tu..so ndo maana nikaona nilete humu ili kama mpo humu siku tukutane KIA pale...hahaha..Umenigusa ndipo kabisa, kwa kweli mimi mwenyewe napenda hii game, ila tatizo sijaicheza lomgtime. Ningependa mtu mwenye CD yake aniazime japo nitoe copy mana kuidownload kwa internet hizi zetu ni kikwazo.
ebanaee ipo poa sana hii..latest ni 2.10 itafute mkuu..Nilikuwa natumia microsoft Flight Simulator na nilikuwa pilot mzuri sana. Siku nyingi sijarusha tena ndege kwenye keyboard, ngoja ni download nione hiyo Flight Gear.
flightgear in kama 700mb tu na imetulia sana...very realistic mkuu..kuna direct link ya the latest microsoft flight stmulator iko kwenye uz wa Paje sema ni 8GB ndo niko naishusha now
we jaribu kuinstall kisha ujaribu...ni zuri tu mkuu..you just choose plane to fly with..big or small..then you are the captain..from taking off to landing..utamu unakuja kwenye kuicontroll kukamilisha safari yako..user manual ya controls zake zipo humo humo...na hadi tutorials zake..wakuu napendaga sana kucheza games sana sana za missions lakini juzi kati kuna mtu aliniletea EURO TRUCK SIMULATOR kiukweli nimelipenda sana mimi nilikuwa nauliza hilo Flight simulator linachezwaje maana ninalo ila sijui kulicheza
wakati wa kuinstall au wakati wa kucheza? na pc yako in spec. gani...!!??Mkuu mimi inaniletea error inaniambia unknown exception.in main looppossible cause no enough memory
kuna direct link ya the latest microsoft flight stmulator iko kwenye uz wa Paje sema ni 8GB ndo niko naishusha now
wakati wa kuinstall au wakati wa kucheza? na pc yako in spec. gani...!!??
wakuu napendaga sana kucheza games sana sana za missions lakini juzi kati kuna mtu aliniletea EURO TRUCK SIMULATOR kiukweli nimelipenda sana mimi nilikuwa nauliza hilo Flight simulator linachezwaje maana ninalo ila sijui kulicheza