Kwa wapenzi wa documentaries

Nzuri Sana. Itafute kwa bidii.

Kuna doc moja niliangalia ya jinsi ambavyo marekani ilinufaika na vita vya kwanza vile na Iraq na Kuwait. It was a business decision na ilitajirisha baadhi ya watu. Inatia hasira kweli yaani.hata sikumbuki inaitwaje. Shida hizo docs zinaonyweshwa so late at night
hiyo ya escobar itabidi niitafute. hivi kuna documentaries zinahusu cali na madellin cartels?
 
now im watching, Mermaids -the body found and Mermaids new evidence, all from animal planet tv.
 
Maisha ndani ya death row na wafungwa wanavyoishi.
hizo za taboo zinaexplore culture za ajabu za makabila na mataifa kadhaa. Mfano huko Filipino watu wanazika kaburi la kukodi, after 3 yrs wanafukua mifupa na kuiosha wanaweka kwenye safleti wanarudisha home. Na Kuna watu wanaishi makaburini coz hawaafford kupanga. Lots of interesting stuff
King'asti zinahusu nini hizi?
 
Last edited by a moderator:
aah! kweli hizo taboo zitakuwa zinasisimua sana. zinafanana na witch crafts: myths and legends
 
well, i always open my mind to allow extreme possibilities, sijifungi sana coz najua science has a lot to offer na bado dunia ina maswali mengi ambayo hayajajibiwa.
lakini kweli mkuu, mambo mengi yalionekanaga hayawezekani lakini leo ni rahisi mno. ID yako inanikumbusha mbali sana.
 

We might be sharing the same mood ! Ila kuna baadhi ulizotaja ni conspiracy theories
 
Kuna hizi hapa pia ni nzuri sana, BBC/Discovery channel
1: Human Planet: Ocean
2: Human Planet: Desert
3: Human Planet: Arctic
4: Human Planet: Jungles
5: Human Planet: Mountains
6: Human Planet : Grasslands
7: Human Planet : Rivers
Nyingine
-African taboos- hii inahusu ushoga katika jamii za kiafrika, Kenya, malawi na Uganda
- How to get ahead in Africa- Hii ni rushwa hapo kwa majirani zetu Kenya...
 
Tafuta ya Mungiki
hii niliwahi iona, zile ishu hata hapa zinaeza kutokea. niliona nyingine zina husu civil war huko sierra leone, ukiziona lazima ufreeze.
 
Kuna hizi
1:Inside human body- bbc maelezo jinsi mwili wa binadamu unavyofanya kazi
2: French african connection -hii inahusu jinsi policy za france zinavyotumika kujinufaisha huku zikiwaacha waafrika hoi na vita
3: Treblinka -suvivors stories - unyama wa hitler dhidi ya wayahudi huko poland ni true story ya movie sobibor
4: bermuda triangle- moja ya sehemu duniani ambapo inasemekana all natural forces acting on our earth are zero i.e ship will sink ,planes will fall , fact ni kuwa hakuna kiumbe au chombo kilichokwenda hapo na kikarudi.
5: All engine failed - Ba jumbo jet 747 survivors 1982 , pilots skills at its best
 
Kuna moja inautwa "THE SHRUB OF TURIN RESEACH" Hii inahusu Vatican walivyokubali kutoa kipande cha msalaba alichigongewa YESU na kuweza kufanya carbon 14 dating, if Is true that up to the present the shrub JESUS crucified aged 2000 years!
 
kuna nyingine inaitwa gasland. inazungumzia jinsi uchimbaji wa gas unavyoharibu mazingira. gas ilichanganyiiikana na maji kiasi ukiwasha moto maji yanayotoka bombani yanaawaka moto. pia nilijua kumbe marekani wana gas nyingi sana. niliogopa sana yanayoendelea mtwara ukichukulia na hawa wahandisi mazingira mizigo.
 
We might be sharing the same mood ! Ila kuna baadhi ulizotaja ni conspiracy theories

Sijakuelewa mkuu, thread inahusu Documentaries ambazo tumeziona. Sasa mambo ya conspiracy theory yanatoka wapi tena? Kwani ikiwa ni ya conspiracy theory inakuwa sio documentary?Muwe mnaelewa kwanza thread kabla ya ku-comment.
 
Sijakuelewa mkuu, thread inahusu Documentaries ambazo tumeziona. Sasa mambo ya conspiracy theory yanatoka wapi tena? Kwani ikiwa ni ya conspiracy theory inakuwa sio documentary?Muwe mnaelewa kwanza thread kabla ya ku-comment.

Mkuu hatubishani tunaeleweshana!! Ndio thamani halisi ya jamvi hili , kuna tofauti kati ya documentary na conspiracy theories japo zote huonekana kama zinafanana , documentary ni factual story zilizowahi kutokea kunakuwa na msimuliaji ambaye anakuunganisha na wahusika wa stori kwa kuwahoji au kuchukua mawazo yao, mara zote ,yeye huwa hayuko upande wowote wa story .nia na madhumuni ni kukupa wewe msikilizaji uelewa wa jambo linalozungumziwa bila kukuchagulia upande..
conspiracy theories nazo huwa ni fact zilizowahi kutokea , tofauti ni kuwa msimuliaji huwa ana upande anaoelemea na wahusika wanaohojiwa au kutoa maoni huwa wahusika kamili wa tukio, ambao hutoa maoni ya kushabihiana na mawazo ya msimuliaji ,malengo hasa ni kukuaminisha mambo ambayo mtengenezaji au msimuliaji anadhani yako hivyo.
mkuu mara nyingi documentary sources zake huwa ni news tv channels science findings and the likes , bbc cnn discovery nat geo history chanell e.tc na unaweza kutrace mpaka siku zilipokuwa aired kwa mara ya kwanza ,conspiracy mara nyingi hutokea kwa kikundi au mtu fulani ambaye anaopingana na serikali yake kwa sababu kadhaa, nyingi ya theories zinakufikia kwa namna ya dvd ,kwa sababu sources zake sio reliable,mfano michael moore ni maarufu sana amerika kwa upande wa conspirancy.
 

Journey towards the edge of the universe

Life in Kibera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…