Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,865
- 172,560
Namshanga!!!!!!!!!! BTW am back Evelynsalt
welcome home, haya tuingoje w'end yani friday night.....!!!!!
Dushelele...................
​ndio hivyo nipishe nipite hahahaaa!!haya bhana....naona ishakula kwangu..kwiiiii kwi
​ndio hivyo nipishe nipite hahahaaa!!
Ntakupata tu.....nnakuja na gia mpya....tehe tehe! Mambo yenyewe siku iyo iyo napigisha sound na kumega!
jitahidi uje na vokswagen
new model basi!!
Am more than serious.....
si nimesema according to me au!!!!!!
Kama kiasi gani...according to you!??
​na candy shop pia naipendaUshachoka kunusa vikwa.pa vya watu kwenye daladala..... ? Tutaanza na ki vitz chetu, taratibu mpaka utatembelea audi 8! Eti si unazipenda audi?
Vipo vingi na vinatofautiana mtu na mtu!
Baadhi;
-mwonekano(mtanashati )
- sauti yake anavoongea
-umbile(shape lol!) sexibode
-sura
-anavyotembea
-MALIGHAFI...(pesa,nyumba na kazi anayofanya)..inaongeza credit ila ndo common siku hizi!!
na candy shop pia naipenda
Kuna pull na push factor!!,hii ni push factor,lazima akupende!!!1. Mpe hela
2. We endelea kumpa hela
3. Nasema mpe hela weeee
4. Zote hapo juu
5. Hakyamama nakwambia we mpe hela
Naomba kuuliza ni vitu gani vinamfanya mwanamke avutiwe na mwanaume?
​na candy shop pia naipenda