Kwa wanawake

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
70
Naomba kuuliza ni vitu gani vinamfanya mwanamke avutiwe na mwanaume?
 
Kuna mambo mengi sana ngoja baadae nitarudi.
 
Vipo vingi na vinatofautiana mtu na mtu!
Baadhi;
-mwonekano(mtanashati )
- sauti yake anavoongea
-umbile(shape lol!) sexibode
-sura
-anavyotembea
-MALIGHAFI...(pesa,nyumba na kazi anayofanya)..inaongeza credit ila ndo common siku hizi!!
 
usimnyenyekeee yaani kila analolisema na wewe umo tuuuu, haumpi hata muda wa kujiuliza kitu sababu majibu ya mwanaume kila wakati ni yes yes etc
 
Naomba kuuliza ni vitu gani vinamfanya mwanamke avutiwe na mwanaume?

Size ya wallet na asset ( houses ,nice car sio kicheche ) na mchochomeo .Yaani Kama sausage Yako hailiki wala siyo size na hujui matumizi mhh.Kwa herini
 
Am more than serious.....
si nimesema according to me au!!!!!!

Nimeelewa ila labda ufunguke kidogo mkuu, ni mwanaume wa muda tu(for good times ) au unaangalia pesa kwa mtu ambaye unatarajia awe mume wako?
 
Nimeelewa ila labda ufunguke kidogo mkuu, ni mwanaume wa muda tu(for good times ) au unaangalia pesa kwa mtu ambaye unatarajia awe mume wako?

wote, good times mume......pesa mbele!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…