😄 sasa si uachie simu hiyo ukalaleHakuna kitu sipendi kama kuamka saa nane.
Kesho najua kibaruani nitachelewa tu. Usingizi utanipitia, kushtuka saa mbili.
Nimejihami tayari. Nimeomba udhuru wa kuchelewa kidogo.
Nilale nini Sasa? Usingizi umeenda kwao.😄 sasa si uachie simu hiyo ukalale
Kazi kwako sijui utazika au utasafirisha😆😀😀😀😀😀 ataweza kweli? Avatar tu kalia eti Dr Restart
😀😀😀😀Sasa avatar unaanza kuipigia mkuu kweli?😂😂
Mapema sanaDhaifu sana na akiona kyupi si anazikwa?🤣🤣
Kweli akunyimaye hakuambii SIKUPI.Au ongea vizuri na ndugu Glenn haba baya
Nawaachia cityKazi kwako sijui utazika au utasafirisha😆
😀😀😀poleKweli akunyimaye hakuambii SIKUPI.
Sasa kunipeleka kwake ndo nini? Aya, nimeelewa
Kuzama si tatizo. Atanipokea?Nimekupa ruhusa zama pm mkuu
Amehlo
Nimetosheka barabara. Napumzika ili nilale Tena. 🤣Kwa hiyo nawe umeshikwa na stress?