πππaya fanya chapKumbe! ππππ¦
Subiri niwape kaujumbe basi
Asante kwa wishes zenu.. Huelewi niniππππ€
Amehlo nakusalimu Sana my dear.Uko bachela alafu una upwilu πππ ni huzuni
Leo sio siku ya kuwakosoa mkuu.πππ Kuwapa kheri mama zet, dada zetu, wapenzi wetu napo shidaaa
Japo ujasema kuwa hawa ni mitihani kwa wanaume ndio wanaoudondosha ufalme, isingekuwa wao tungekuwa tunaishi edeni
Mlinzi kuibiwa Ni uzembe Sana. Nikipitiwa na usingizi naiweka kwenye nyeti isianguke.Angalia usiibiwe simuπ€£
Shimba ya Buyenze amka mkuuMkuu Shimba ya Buyenze asubuhi pakikucha usijisumbue kumtakia heri ya siku ya wanawake mpwa wako sophy27 maana Mimi tayari nimekuwakilisha. Mwache tu asherehekee.
Shimba ya Buyenze Sasa hivi amezima simu amelala. Wasukuma Ni loyal Sana na ndoa zao,siyo Kama nyie watu wa daslamu mpo kitandani saa nane usiku saa hizi mnachati badala ya kukumbatia Bibi.Shimba ya Buyenze amka mkuu
Asante kushukuru, karibu πAsante kwa wishes zenu.. Huelewi niniππ
Unawajua wasukuma wewe?Shimba ya Buyenze Sasa hivi amezima simu amelala. Wasukuma Ni loyal Sana na ndoa zao,siyo Kama nyie watu wa daslamu mpo kitandani saa nane usiku saa hizi mnachati badala ya kukumbatia Bibi.
Thubutuuu...Utakatwa nyeti mkuu
Unataka kusemaje?Unawajua wasukuma wewe?
πππππ₯βοΈβ€οΈ
View attachment 2541190