Kwa Wanawake wote wa JF

Famchezo nini
Mjomba hajui.. mjuze
 
Shauriyo.

Likiwa kubwa ile unanyanyua mguu mmoja, heel inateguka. Unajimwagwa pwaa kama gunia la maharage.

Tulia kwenye kiti mama. DJ akiweka beat, wewe vua viatu. Litingishe, watu weweeeeeeeeeee.
 
😀😀😀 nasemaje huna ujualo

Famchezo na mwendo wa madaha hutoki jasho yani
 
Catwalk 'madaha' haihitaji waliojaliwa sana.

Mapaja manene yanashindwa kupishana. Utajitega ujikwae. Heel iwe very strong, mifupa iwe kakamavu.

Kama una madaha, tambua hujajaliwa kihivyoooo..

Tulia Shangazi. Glenn tafadhali weka beat lingine.
 
Mjomba madaha ni yetu sote 😀😀😀😀

Kwanza we madaha unayajulia wapi 😀😀au uneleft group
 
Na wote tuseme Amen 🙏
Being a woman is a blessing ❣️

Happy world international women's day to all women.
 
Asante Glenn baba ubarikiwe mno🥰🥰🥰😘😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…