Kwa wanawake wote niliowahi kuwatongoza humu JF

Ngoja na mimi nianzishe siredi ya kuwafukuzia wanawake nguli wa JF

Naweza lamba dume nikapata maraha Ex-mas hii maupweke yamenishinda . .Lol!!
 
Naona una hamu ya kulala sebuleni leo,shemeji akikatiza akaiona hii sredi utajibeba:confused2::confused2:
 
Jamani , nafasi bado iko wazi, naendelea kutafuta bibie wa kunienzi na kunibembeleza.
Kama ulishindwa kunikubali kipindi kilichopita usione aibu, we ni Pm tu.
Nipo kwa ajili yako

Eeeeh bhana eeeh wakiku- PM woooteeee itakuaje..?
Na wao wakasema wewe ni kwa ajili yakoo......usije kimbia....!:madgrin:
 
wale walioumizwa hivi karibuni utayafanyia kazi maombi yao kwa uzito zaidi ili kuwa fariji katika kipindi hiki kigumu kwao
 
Back
Top Bottom