Kwa wanawake wote niliowahi kuwatongoza humu JF


Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,395
Likes
38,572
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,395 38,572 280
Jamani , nafasi bado iko wazi, naendelea kutafuta bibie wa kunienzi na kunibembeleza.
Kama ulishindwa kunikubali kipindi kilichopita usione aibu, we ni Pm tu.
Nipo kwa ajili yako
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,499
Likes
218
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,499 218 160
Dah! Komaa baba, toa ofa ya Christmass watakuja tu
 
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
4,765
Likes
325
Points
180
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
4,765 325 180
Isije kuwa unawafanya eat and run if not hit and run!
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,653
Likes
2,709
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,653 2,709 280
Sasa mie hukuwahi kunitongoza. Naruhusiwa kujifungulia jalada ama nisubiri mpaka ukechi mai yua eye?
 
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Likes
8
Points
135
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 8 135
Hatutaki kukupoteza humu ndani mkuu.
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
588
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 588 280
Bujibuji anataka kugandana mwishoni mwa mwaka
duh balaa
 
Last edited by a moderator:
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Likes
8
Points
135
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 8 135
Aaah huwa wanasema hivyo hivyo hit and run,lakini tunashangaa inakuwa hit and fall mazima ooh!
CAY:Haki ya mama yangu umenichekesha kweli!!!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,235,473
Members 474,585
Posts 29,223,376