Kwa wanawake wote niliowahi kuwatongoza humu JF

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,732
155,414
Jamani , nafasi bado iko wazi, naendelea kutafuta bibie wa kunienzi na kunibembeleza.
Kama ulishindwa kunikubali kipindi kilichopita usione aibu, we ni Pm tu.
Nipo kwa ajili yako
 
Sasa mie hukuwahi kunitongoza. Naruhusiwa kujifungulia jalada ama nisubiri mpaka ukechi mai yua eye?
 
Back
Top Bottom