Kwa wanawake wenye tabia kama hii

Anajua alivyowaumba nyie, anajua uwezo mlio nao wa kum-boresha mwanaume au wa kum-bomoa toka juu hadi mavumbini. Anajua ujanja na sintofahamu mlionayo, anajua namna mnavyoweza kubadilika kutoka umalaika hadi yale yasiweza kusemekana. Anajua kusimama kwa wanaume kwenye huduma alizowaitia kunachagizwa sana na nyie na pia kunabomolewa sana na nyie tukianzia na yaliotokea pale bustanini, kwa Ibrahimu, kwa Yakobo, kwa Samsoni etc etc Anajua mna nguvu sana ya ushawishi either wa heri au wa HILA kwenye jamii.. anajua pia mnavyoweza kunaninii???????????????????... etc etc etc..

Kwanini alisema hivyo?
 
Upo sawa kabisa a Woman is a reflection of God's Love and a Man is a reflection of God's Wisdom.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…