hahahahahahahah King'asti bana em niambie nienda wapi kuchukua hiyo degree fake ya kuwa mzungu ??
hahahahahahahah King'asti bana em niambie nienda wapi kuchukua hiyo degree fake ya kuwa mzungu ??
hahahahahahahah Hilarious ... huo mtihani mgumu aisee I quite . mi huu mu Afro wangu hata dawa si weki kwa hiyo ngoja nianze kuji remove taratibu aise. sihitaji maumivu ya kichwa. Hivi siwezi ku date ama kuolewa na mzungu nikabaki kuwa Mu Africa? I think Warusi ni wanzungu .unakaa na wazungu, unadate wazungu and you start thinking kuwa wewe ni mzungu. Mbona kila saa na tikisa my hair, and i nod at every sentenso! Soon i am becoming russian (au warusi nao ni wazungu?)
Mimi personal nahisi mume wake penzi limeisha .Kwa sababu mume wake Bado Tajiri halafu mume ana girlfriend tayari.Kusema ukweli havitii wifi huyudahhh ndoa ndoano. kwa kweli kwenye ndoa kuna matatizo mengi . Wifio anasema tatizo ni "Mume wake hana kazi" na je umemuuliza mume wake tatizo nini?? maana kuna story za pande mbili hapo. labda kuna matatizo mengine ndani ya ndoa ambayo anaona haya kuongea nawe. halafu swali lingine umemlinganisha uziri wake na nani kwa we kusema "sio mzuri kabisa"?
Discussion Ilianza dining table .mume wake huyo ni mu Iran , wanakula biriani kababu nk .Mume wangu akamwambia mbona Natalia nao wanakula chakula Kama hicho .Nikamwelezea Tanzania arabic na India food kwa sana tuuu na wahindi waarabu kibao.Wifi yangu kusikia hivyo akaanza oh nasikia Wanawake Huko ndio wanatunza waaume na wanaume wako controlling b
Mume kijana mke kijana pesa ipo lakini hobbies zenu hazilingani kuweza ku-enjoy pamoja. Si jambo dogo
Nilikua marekani 2008 kwa muda mfupi tu niligundua kwamba wanawake wa asili ya huko hawapendi mume legelege but wanamume wa marekani ni wapenda starehe sasa she is wright 100percent! She can smell well the future!Discussion Ilianza dining table .mume wake huyo ni mu Iran , wanakula biriani kababu nk .Mume wangu akamwambia mbona Natalia nao wanakula chakula Kama hicho .Nikamwelezea Tanzania arabic na India food kwa sana tuuu na wahindi waarabu kibao.Wifi yangu kusikia hivyo akaanza oh nasikia Wanawake Huko ndio wanatunza waaume na wanaume wako controlling b
Na abusive discussion ikageukia kwa mumewe Ikawa kelele.akaniuliza view yangu nikamwambia surrender kwa mapenzi ya mumewe mambo ya independent yatamuweka pabaya.yaani discussion inaendelea sebleni Huko Mimi nimeshachoka ..
Amefile for divorce sababu Hana ambition .Pesa wanayo haswa.ila mume anaangalie Tv masaa 4 kwa siku ,anacheza golf na kwenda beach .
Nilikua marekani 2008 kwa muda mfupi tu niligundua kwamba wanawake wa asili ya huko hawapendi mume legelege but wanamume wa marekani ni wapenda starehe sasa she is wright 100percent! She can smell well the future!
Mumewe uko Australia anaheshimika alikuwa Bosi mkubwa wa Heinz (bara fulani hivi )miaka miachache iliyopita.akaacha akafungua kampuni yake alitengeneza pesa .ameuza kampuni yake anapesa bank kaamua kupumzika wifi anaona Hana ambition .Wifi yangu Yale Graduate ila alikuwa house wife