Kwa wanawake wapweke tu

Kwa wanawake wapweke tu

Prof Decentman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
276
Reaction score
140
Habari zenu wana jukwaa.

Mimi ni ME nina kazi zangu na maisha yangu hivyo sihitaji faida yoyote ya kifedha ktk hili ninalolisema. Nilifanya utafiti mdogo nikagundua kuwa watu wengi sana ni wapweke haswa haswa.

Kwa upande wangu nahitaji kuwasaidia wanawake wapweke tu wenye mahitaji yafuatayo:

1. Wale ambao wanahitaji mwanaume wa kuongea naye kimahaba na kumpa kampani sababu ya upweke mkubwa alionao.

2. Wale ambao wanahitaji mwanaume wa kuchat naye kimahaba.

3. Wale wanaohitaji massage toka kwa mwanaume.

4. Wale ambao hawajawahi kuridhishwa wala kufurahia tendo la ndoa. Hivyo wanahitaji huduma hiyo.

5. Wale ambao hawataki mahusiano ya kudumu na mtu lakini wana "ham" kama binadam wengine hivyo wanahitaji mtu karibuni.

6. Wale wanawake wanahitaji ushauri wa kimapenzi pia karibuni.

7. Wale wanaohitaji "lovely tour" like kwenda beach au mbugani etc


Huduma zoote hizo ni bure. No strings attached. Ni PM. Waweza comment chochote upendacho.
 
na kwa wale tunaohitaji kulipiwa nyumba na kupewa hela tunaweza kuja PM?
 
Hahaha ubarikiwe kwa huduma hii..... Ina wateja wengi sana tu
 
Back
Top Bottom